likengengema
Member
- Mar 10, 2015
- 39
- 5
Hivi mwanahalisi lilifungiwa kwa sababu gani eti!!!
Ametataka mwenyewe, sasa ni muda tu yote yatamlipukia usoni kwake. Jamaa alitia mkono kila sehemu yenye ulaji. Yote hiyo haikutosha akaona ni bora aingie ikulu ale zote kabisa. Sasa kitamgeukia na wajinga watasema anaonewa. Ccm sio wajinga kukaa kimya muda wote huu.
baada ya hiyo ukawa waanza kuumwa vifaduro
I'll vote for Edward Lowassa on 25th October, 2015.
Yananuka....!Mavi ya kale
Nina wasiwasi na jamiiforum nayo imenunuliwa, hii topic mwanzo ilikuwa na jina na terehe iliyoandikwa katika gazeti la mwanahalisi lkn wameondoa jina la mwandishi, ambaye ni saidi kubenea sijui maana yake nini?