Pascal Ndege
JF-Expert Member
- Nov 24, 2012
- 2,977
- 1,897
Kati ya watu ambao sita wasahau katika safari yangu hapa duniani ni Rais JPM. Mara kadhaa niipambana na baadhi ya wanasiasa kuhusu vitu kadhaa ambavyo niliona haviendi sawa kipindi cha awamu ya nne. Lakini awamu hii ya tano inatembea kwenye mawazo yangu mpaka kuna muda sioni haja ya kuingia katika siasa.
Vita kati ya wafanyabiashara wa sukali na bidhaa nyinginezo ambazo ni muhimu, mimi naona inadosari ndogo sana ambapo tunatakiwa tujisahihishe. Moja ya dosari ni kufufua maduka ya ushirika atleast Duka moja kila mkoa ambalo litamilikiwa na serikali kwa 49% na wananchi wazalendo 51% kwa tathmini ya haraka haraka tutakuwa na maduka kama 30 na ushee hivi.
Haya maduka ndio yatakuwa kaburi kwa wafanyabiashara watukutu la sivyo wataitikisa serikali na JPM atakuwa hana ubavu wa kuwafanya lolote. Wapandisha bidhaa makusudi wataharibu uchumi wataharibu kilimo, kwasababu serikali haina channel ya kuwadhibiti.