Naunga mkono hoja wabunge kupimwa akili | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Naunga mkono hoja wabunge kupimwa akili

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by massai, Jul 30, 2011.

 1. m

  massai JF-Expert Member

  #1
  Jul 30, 2011
  Joined: May 2, 2011
  Messages: 655
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  a Mbunge mmoja wa magamba amesema kunahaja ya wabunge kupimwa akili kubaini wenye matatizo katika shughuli zao za kilasiku bungeni na nje ya bunge.sasa swali la msingi hapa ni je hawa wabunge wa magamba watapona kweli????kwasababu utakuta mmbunge katika changia yake yote analalamika mwanzo mwisho na kuikosoa serekali alakini hitimisho lake anaunga mkono hoja,sasa jamani hapo kama sio ukichaa huo ni nini??mimi nafkiri hawa wabunge wa magamba wote wana matatizo makubwa sana ya akili.angalia walivyo gawa raslimali zetu zote kwa wazungu,wathubutu kusema mzungu achukue madini yetu yote kwa muda wa miaka kumi bila kulipa kodi sasahapo kama sio ukichaa basi wazungu nao sikuhizi wanaloga tena kuluko wale kule ufipa na usambaani.
   
 2. Jituoriginal

  Jituoriginal JF-Expert Member

  #2
  Jul 30, 2011
  Joined: Feb 8, 2010
  Messages: 362
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Ndugai apimwe akili.
   
Loading...