PANTHERA LEO
JF-Expert Member
- Jan 25, 2019
- 2,307
- 3,431
Wakuu natumaini mko poa .
Nimetumia dawa nyingi lakini kifua hakiponi. Juzi homa ilipanda lakini nimepima malaria nimeambiwa sina
Mimi sio mtumiaji wa sigara au pombe kali.
Chaajabu ni watu wengi ninao wafahamu wanaumwa hali kama yangu
Naombeni msaada wenu wakuu nitumie dawa gani maana hospitali kila nikienda dawa ndio zinaniongeza maumivu zaidi.