pascal luoga
JF-Expert Member
- Feb 23, 2019
- 232
- 257
Habari wakui ndani ya jukwaa hili?
Ni hivi, ni kwangu tu ama tatizo hili lipo kila sehem ndani ya kipind hiki?
Tatizo
Ni Wiki ya pili hii nawashwa kwanzia sehem za siri, mapaja mpaka tumboni...ukijikuna unatoka kama ukurutu ama mba, pia tatzo hili huanza hasahasa nyakat za usiku kwanzia saa1 na kuendelea... usiku kucha naweza nisilale kwa muwasho....naombeni msaada wakuu ni dawa gani nitumie.
Vidonge vua minyoo nimetumia lakini wapi.