Mimi naona huyo Bibie haridhiki na wewe kwa iyo km mshazaa shukuru MUNGU umemgundua na hata hao watoto waangalie sura zao hata kwa DNA
baada ya hapo achana nae kabisa huenda maumbile yako haridhiki nayo au style anaogopa kukueleza mbadili iwe ya kivipivipi vile
hapo!!! kuna matatiz meng kati yako na yeye,bt aliyefanya kosa ndo yuko kweny risk zaid yako,ni uamuz mgum xana naweny kuleta kila aina ya majib kwa mwenko....bt mim nasndwa kukwambia direct nin ufanye,if was me ningeendelea kukaa kmya