Naumizwa

JAJU

Member
Joined
Apr 4, 2013
Posts
16
Reaction score
3
Nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
 
duuuh!kwanza pole kwa maumivu!
pili utakufa kwa kihoro bora umuulize
akudanganye maumivu yatapungua!
 
Wewe huko gesti hausi ulikwenda kwa nia gani?
 
Bora umpe nafasi
Unaweza jikuta umemchoma hata kisu, kimya kimya mbaya sana
 
Mkuu ni heri uvunje ukimya,vinginevyo utajitafutia magonjwa ya moyo bure
 
nimemkuta mke wangu gesti na mwanaume mwingine tar.23.01.2013 hadi leo sijamuuliza na niko naye kama kawaida nimfanyeje?naombeni ushauri wenu.
pole sana, nakushauri kaa kimya hivyohvyo en am tellng you atajifunza na hata rudia kamwe!! Hiyo ndiyo silaha pekee kama bado unampenda kwa dhati
 
duh....kapimeni afya zenu.... maana kwa kifupi unampenda na uko ready kwa lolote...
 
niliitwa kushuhudia na watu wema kwangu
Hao watu si wema hata kidogo bc tu walitaka kukua mtoto wa watu,cha msingi kwa mda huo wote tayari ulisha samehe,ngoja nikuulize swali mnalala kitanda kimoja au kila mtu cha kwake? na chumba?
 
Mh Hebu muulize na mjadili kuhusu Hilo, kwani yeye ndio anateseka sana, maana hajui uliwazalo. Na atakuwa yuko na mawazo mengi tegemea lolote kutoka Kwake, kukutoroka, kujiua nk
 
hapo!!! kuna matatiz meng kati yako na yeye,bt aliyefanya kosa ndo yuko kweny risk zaid yako,ni uamuz mgum xana naweny kuleta kila aina ya majib kwa mwenko....bt mim nasndwa kukwambia direct nin ufanye,if was me ningeendelea kukaa kmya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…