Nyani Ngabu
Platinum Member
- May 15, 2006
- 98,503
- 145,918
Nilishawahi kulisema hili kwamba litaelekea huku.
Naamini aggyjay anakumbuka comments zangu kwenye uzi wake ulioibua haya yote.
Ngabu samehe bure, sanasana wasamehe hao waliokuletea taarifa ambazo hawana uhakika nazo, ule uzi niliufuatilia comment moja moja hakuna mahali ulitajwa na pia kuna mdau akijaribu kuunganisha dots za wewe na ule uzi lakini mimi sikuona kama zinaconnect. Kubwa zaidi mwisho wa siku mtoa mada alikiri kuwa uzi ule haukuwa ukimhusu mtu yeyote ila aliandika tu kufurahisha genge, au kwa lugha yetu humu tunasema kutafuta attention, unajua ujana tena tehNakumbuka kusoma nasaha zako zile.
Kipindi hicho nilikuwa likizo hapa JF.
Huyu mwanzishaji wa hii mada alianzisha mada mbili.
Ya kwanza ilikuwa kumhusi ‘bebi’ wake ambaye alikuwa hapokei simu zake, nk.
Ya pili ikawa ni mrejesho wa hiyo mada ya kwanza.
Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa.
Baada ya hiyo mada kuanzishwa na watu kuanza ku guess mhusika ni nani, nikaanza kutafutwa nje ya JF.
Nikaanza kuulizwa ‘we Ngabu umemfanya nini huyo mtu?’ Maana anakuongelea huko JF.
Nikashangaa sana. Ananiongelea huko JF kwa lipi? Kuja kusoma nikabaki nashangaa tu.
Maana mimi sina uhusiano naye. Sijawahi kuwa na uhusiano naye. Sasa iweje awe ananizungimzia mimi?? Nikabaki nashangaa tu.
Baadaye nikatafutwa tena na nikapewa uhakikisho kuwa ni kweli huo uzi ulikuwa unanihusu mimi.
Supposedly, huyo mwanzisha uzi sijui uliwasiliana naye na aka confirm kwako kuwa ni kweli huo uzi wake ulikuwa umenilenga mimi.
Nikapotezea tu kwa sababu hakukuwa na ukweli wowote ule. Zaidi ya kumsaidia tu kiubinadamu, mimi sijawahi kabisa kuwa na uhusiano naye kimapenzi kama alivyoelezea yeye.
Sasa imagine mtu umemsaidia, tena siyo mara moja, halafu anakuja anakuzushia mambo ya ajabu ajabu kabisa yasiyo na mbele wa nyuma.
Nikam- cancel. Nikampuuza kama mwendawazimu.
Sasa naona hapa analalamika. Analalamika nini wakati ulimuonya kipindi kile kuwa this will not end well for her?
Dish limeyumba huyo.
Ngabu samehe bure, sanasana wasamehe hao waliokuletea taarifa ambazo hawana uhakika nazo, ule uzi niliufuatilia comment moja moja hakuna mahali ulitajwa na pia kuna mdau akijaribu kuunganisha dots za wewe na ule uzi lakini mimi sikuona kama zinaconnect. Kubwa zaidi mwisho wa siku mtoa mada alikiri kuwa uzi ule haukuwa ukimhusu mtu yeyote ila aliandika tu kufurahisha genge, au kwa lugha yetu humu tunasema kutafuta attention, unajua ujana tena teh
sio vizuri kwa kweli.
kumsaidia mtu sio tiketi ya kumsimanga.
Aisee kama alithibitisha kabisa sina la kusema tenaAnhaa...kumbe ulienda kuusoma eh?
Ni hivi, yeye mwenyewe huyu mwanzisha mada aliwasiliana na Don C kwenye PM.
Huko kwenye PM ndo aka confirm kwamba mlengwa wa huo uzi ilikuwa ni mimi.
Sasa basi, unless wote wawili waje hapa kukanusha na huyo mwanzisha mada akanushe kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, Nitafuta kauli zangu na kuomba radhi.
Lakini mpaka hapo itapotokea hivyo, mimi sina kosa lolote lile.
Hata ingekuwa wewe umenisaidia kiubinadamu, nje ya hapo hatuna uhusiano wa kimapenzi, halafu unakuja kuona nimekuanzishia uzi kama huo, utajisikiaje?
Hutoniona mi mzushi?
Zaidi ya huruma za kiubinadamu, mimi sikuwa na jingine kabisa kwake.
Tena nilisaidia hata ku vouch kwenye ule uzi wake wa kuomba msaada kwamba ni kweli alikuwa na shida kwa sababu niliwahi kuthibitisha kwa macho yangu.
Aisee kama alithibitisha kabisa sina la kusema tena
Nakumbuka kusoma nasaha zako zile.
Unless aje akiri hapa kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, otherwise I stand by everything I’ve said.
Kwenye ile thread nilizingua kuandika kama vile namjua muhusika moja kwa moja, lengo ilikuwa ni kumwomba aachane na hiyo issue kwa sababu straight niliwaza kwamba anayetajwa ni moja ya wahisani wake kwenye issue za bima, hivyo nikaona kama inaenda kumuharibia kama ikitokea akahitaji msaada kwenye renewal ya bima.
Ukisoma maandishi yake utaona kabisa kwamba aliyetajwa ni member wa JF, ila cha ajabu analalamika kwamba hajawahi hata kupigwa naye busu, hivyo tukawa tunashangaa kwa nini alalamike vile.
Good thing alibadili gia akatuambia alikuwa anatania, kiheshima watu walikausha.
Ndo hivyo!
Unless wote wawili, yeye mwanzisha mada na Don C waje wakanushe hapa kuwa hawakuwasiliana kwenye PM na yeye mwanzisha mada kumwambia Don C kuwa mlengwa ilikuwa ni mimi, nasimamia yote niliyoyaandika.
Sikuyaanza mimi haya. Iweje ndo nionekane mbaya?
Don alimuonya huyo mtu. Akamfuata hadi PM huko....
Oh okay.
Naomba unijibu hili swali. Kama huwezi kujibu hapa unaweza kunipa majibu PM.
Wewe hukumfuata PM na kumwuliza kuwa alikuwa anamzungumzia nani na yeye akakujibu kuwa alikuwa ananizungumzia mimi?
Naomba useme ukweli, tafadhali....
Just an FYI, mimi sina tatizo na wewe. Matter of fact, most of the time I just mind my own business. I don’t start shit.Nilimuonya, sikuwa nimewasiliana naye PM, na hakuna mahali alipokutaja au mimi kukutaja, ni ile kuunganisha tu taarifa kutokana na maelezo mengi aliyoyatoa kuhusu muhusika, point yangu ilikuwa kumwonya kwa kujua kwamba moja ya watu anaowataja ni wahisani wake, hivyo awe na shukrani.
Najua jinsi JF inavyo trade kwenye kufukua makaburi mtu anapokuja kuomba msaada, sikujua (hakutaja) kama yuko financially well-off kama anavyosema yuko sasa hivi na yuko tayari kuwalipa wote, nikajua anaweza kuja hapa renewal ikikaribia watu wakazingua kusaidia.
Hapana, sikumfata PM kabisa.
Okay.
Ngoja nirudi kwa aliyeniletea hizo taarifa....
Sijaenda PM kwake, isipokuwa baada ya mimi kuandika vile kuna baadhi walisema muhusika ni mimi, and then wengine wakawa wamewaza mtu mwingine.
Alikuja mtu PM kuniuliza kuhusu hii issue, nilimjibu the same kwamba sijawasiliana na Aggy, na kilichosababisha niandike vile ilikuwa kuizima hii issue.
Kwa marafiki na jamaa wa jf.
Mwaka 2018 nilipata tatizo la ghafla na kuugua,na pia sikua na uwezo ama kujiaandaa kukabiliana na hill tatizo.kwani nlitoka kwenye kipindi kigumu cha kumuuguza ndugu yangu na sikua na kipato,hali ilivozidi kuwa mbaya ikanilazimu kuomba msaada kwa baadhi ya marafiki wa jf,kuna watu walijitokeza na kunisaidia kupata 300K ya bima ya Afya nkaleta na mrejesho
Lakini tatizo liko hapa;
Kuna baadhi ya member mnaniweka kwenye masikitko na huzuni,its like Mimi ndo wa kwanza kupata matatizo na kuomba msaada jf?
Imekua too much kwa sasa,lisitokee jambo mtu kaibuka na kuongeea msaada nliopata,kuna wengine mnafikia hata ya kunidhalilisha kwa makosa yasiyojulikana,makosa ambayo siyajui na hapana ukweli kabisa.
Kuna mda mwingine nakubali nakosea,nakubali na naomba mkumbuke Mimi ni binadamu kama wengine sio malaika.
Lakini kinachoshangaza na kuumiza mtu anakuja na kuingiza habari za msaada kwenye hayo masuala..its inhumane.
I appreciate what you did to me,ni kitu kikubwa ambacho kilinisaidia mno,lakini the way mnavolikuza na kuliongelea ni kama nlipewa mkopo na si msaada wa kibinadamu..
Whenever you get a chance u use it to insult me..why!
Mimi ndo wa kwanza kuomba msaada humu jf?kama kwenye matatizo wore wangetreatiwa hivi ni yupi angekua na amani mbele za watu?
guys,nlipoteza wazazi wore wawili nkiwa mdogo sana.nkachukuliwa na familia ya mtu,nkakua kwao,lakini kila nikikosewa au kufanyiwa ubaya kama binadamu nkiongea kuonyesha nlivokereka maneno ntayorudishiwa ni "huna baba wala mama,tumekulea hadi umekua nk.!
Nnapopokea kauli kama hizi natamani nifanye malipo,angalau kupunguza maneno,,lakini malipo ya wema na utu ntayalipaje,kama ni chakula ntawalisha nkifanikiwa.
Na kwenu pia,nashukuru sana kwa mda wenu,kujitoa kwenu na upendo wenu mlioonyesha.wenyezi Mungu Atawalupa kwa hili.
Lakini kwa upande wa pesa angalau ntawalipa.nko imara kwa sasa hapo sio kikamilifu lakini nna nguvu ya kufanya mengi ukilinganisha na mda uliopita.
Ntajitahidi kwa kadri ya uwezo wangu nirudishe kidogo kidogo angalau maneno yapungue.maana najiona nna deni kwa jinsi hali ilivo.
Watu walionifanikisha msaada wapo 13.kipindi napokea msaada niliwanote kwenye diary, na wote nawajua I'd zao na amount ya kila mmoja.ntajitahidi taratibu kurudisha angalau nipate nafuu.
Nawapemda wote!
Aggy!
Nakumbuka kusoma nasaha zako zile.
Kipindi hicho nilikuwa likizo hapa JF.
Huyu mwanzishaji wa hii mada alianzisha mada mbili.
Ya kwanza ilikuwa kumhusu ‘bebi’ wake ambaye alikuwa hapokei simu zake, nk.
Ya pili ikawa ni mrejesho wa hiyo mada ya kwanza.
Hiyo mada ya kwanza hakumtaja huyo mtu. Lakini kwa jinsi alivyoandika ni zuzu tu ambaye asingeng’amua kuwa ni mtu yupi aliyekuwa anazungumziwa.
Baada ya hiyo mada kuanzishwa na watu kuanza ku guess mhusika ni nani, nikaanza kutafutwa nje ya JF.
Nikaanza kuulizwa ‘we Ngabu umemfanya nini huyo mtu?’ Maana anakuongelea huko JF.
Nikashangaa sana. Ananiongelea huko JF kwa lipi? Kuja kusoma nikabaki nashangaa tu.
Maana mimi sina uhusiano naye. Sijawahi kuwa na uhusiano naye. Sasa iweje awe ananizungimzia mimi?? Sipokei simu zake zipi ilhali hata namba yangu ya simu hana? Nikabaki nashangaa tu.
Baadaye nikatafutwa tena na nikapewa uhakikisho kuwa ni kweli huo uzi ulikuwa unanihusu mimi.
Supposedly, huyo mwanzisha uzi sijui uliwasiliana naye na aka confirm kwako kuwa ni kweli huo uzi wake ulikuwa umenilenga mimi.
Nikapotezea tu kwa sababu hakukuwa na ukweli wowote ule. Zaidi ya kumsaidia tu kiubinadamu, mimi sijawahi kabisa kuwa na uhusiano naye kimapenzi kama alivyoelezea yeye.
Sasa imagine mtu umemsaidia, tena siyo mara moja, halafu anakuja anakuzushia mambo ya ajabu ajabu kabisa yasiyo na mbele wa nyuma.
Nikam- cancel. Nikampuuza kama mwendawazimu.
Sasa naona hapa analalamika. Analalamika nini wakati ulimuonya kipindi kile kuwa this will not end well for her?
Dish limeyumba huyo.
Unless aje akiri hapa kuwa hakuwa ananizungumzia mimi, otherwise I stand by everything I’ve said.
Ngabu samehe bure, sanasana wasamehe hao waliokuletea taarifa ambazo hawana uhakika nazo, ule uzi niliufuatilia comment moja moja hakuna mahali ulitajwa na pia kuna mdau akijaribu kuunganisha dots za wewe na ule uzi lakini mimi sikuona kama zinaconnect. Kubwa zaidi mwisho wa siku mtoa mada alikiri kuwa uzi ule haukuwa ukimhusu mtu yeyote ila aliandika tu kufurahisha genge, au kwa lugha yetu humu tunasema kutafuta attention, unajua ujana tena teh
Kumbe ndio huyu. Shida ipo mahali.
Shut up,relax and enjoy the dollars you looted!
Dont make noise while eating!
Manners!