Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,739
- 104,947
Wadau habari. Nasoma Bsc Geology na huu ndio mwaka wa mwisho (Bado week 2 niwe nmemliza mitihani).
Vyeti kutoka najua hdi mwakani, na siwezi subir huo muda nyumbani.
Yoyote anaefahamu sehemu nnayoweza apply kazi ya geologist, mahala wasipo hitaji sana xperienc, esp makampuni ya exploration machanga, anaweza nisaidia.
Au yoyote mwenye ushaur wa ziada? Hapa nina matokeo ya semeater 5 toka chuoni (result statmnt(