hii ni thread ya pili ndani ya dakika 10 na zote ni thread za kipumbavu.
usilivamie jukwaa kwa pupa hivi kaa pembeni soma thread za wengine na ujifunze how to think big. anza kwa kuchangia kidogo kidogo thread wengine mpaka ukishakomaa na wewe nldio uamze kuanzisha thread zenye akili.