Panya Mabaka
JF-Expert Member
- Apr 3, 2014
- 619
- 558
Je, nihalali kuendelea kuishi na mke ambaye hawapendi ndugu wa mumewe hadi wakwe zake?
Je, nihalali kuendelea kuishi na mke ambaye hawapendi ndugu wa mumewe hadi wakwe zake?
Umeanza kunivutia hivyo, halafu nikivutika unambwela!!!!Kuna ndugu wengine wagumu... na mama wakwe wengine mweeeeee.... ni sheeeeda! Ila mwanamke mwerevu anaungulia moyoni nje anacheka tu... kama vipi analilia bafuni akiwa anaoga! Kilio cha samaki machozi yanaenda na maji...
Ni halali kama anasababu ya kufanya hivyo
Teheeee njoo kwangu la aziz weee mie ndugu zako ntawapenda usihofuUmeanza kunivutia hivyo, halafu nikivutika unambwela!!!!
Teheeee njoo kwangu la aziz weee mie ndugu zako ntawapenda usihofu
Kuishi kimasikini ni kuishi nyumba moja mkeo na dada,zako na mama yako....utampa mkeo lawama za bure...kila mwanamke anataka kuwa na sauti nyumbani kwake...sio kuishi kinyonge...
Kuishi kimasikini ni kuishi nyumba moja mkeo na dada,zako na mama yako....utampa mkeo lawama za bure...kila mwanamke anataka kuwa na sauti nyumbani kwake...sio kuishi kinyonge...
Umasikini ni tatizo mkuu....Kuishi kimasikini ni kuishi nyumba moja mkeo na dada,zako na mama yako....utampa mkeo lawama za bure...kila mwanamke anataka kuwa na sauti nyumbani kwake...sio kuishi kinyonge...