[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee pole sanaHahahaha....umenkumbusha mbali sana. Mm hiyo kitu nliacha baada ya kuteleza na kuanguka na mama akasema "asante Mungu, nlikuwa nasubiri kwa hamu sana". Aisee, nlijipaka mafuta huku natoa miguno ya maumivu na jazba juu. Kuanzia hapo nlikuwa siendi kuoga bila taulo.
Acha kabisa....so, as a tip: hakikisha unajifuta hadi nyayo za miguuni kabla ya kuchomoka nduki. Take it from me! Hahaha[emoji23] [emoji23] [emoji23] asee pole sana
NdioDuh kila mtu mkubwa.
Mmmh kama nikifika huko sijui itakuaje.
Watu mnatia hamu wengine kama vile hamna mabwanaI guess that will be the day i die[emoji16]
ntakupiga ngwara umanuke[emoji2]Haha utanifanya nini?
[emoji2] muuaji wa kimya kimya...sikutoi roho nakuua ivi ivi[emoji23] [emoji23] [emoji23] we muuaji
Ukiweza kufanya hivyo ukweni ndo utakuwa umri wa kuacha umefika
Nataka nijue niache au bado bado[emoji18]
Ukisha vunja ungo na ukaanza kuliwa nanihii,ni wakati wa kutoacha kabisa kabisa,yaani unakuwa huna haya tena coz tayari umeshajua kutafunwa,kwa hiyo kwenda na kutoka bafuni uchi haijalishi kabisa,wewe unajiachia tu ili uwe mtafunwa wakati wooote.
Nataka nijue niache au bado bado[emoji18]