UKAWA upo, haupo?

Gangongine

JF-Expert Member
Dec 31, 2015
3,854
1,776
Zile shamrashamra za kuzungusha mikono, kudeki barabara, kuigiza kuzimia, kuchukua photoshop ya maandamano ya Ughaibuni na kulaghai watu nyomi ya Mikutano bandia zimeishia wapi?

Wapi Mgombea Mwenza mwenye mbwembwe na machachari? UKAWA umekuwa UKIWA! Very Sad!! Huku Gongolamboto hatuwaoni tena mkiigiza kupanda daladala wala kuonja uji wa Mama Ntilie Buguruni! Ah nikukumbuka bendera kwenye pikipiki na biashara ndogo ndogo!! Hata ile Salaam yetu bado ipo?? Waaaaaapiiiii!
Watu hawataki ulaghai, wanataka Sera madhubuti za kutatua kero zao. Watu hawataki vigeugeu wanaosema leo hiki cheusi na kesho wakasema Cheupe!! Wanaopa kutompokea Fulani na kesho wakamfanyia Sherehe!

Wapi Bwana habari wa UKAWA?? Alipoteza majimbo manne (4)akarudi peke yake!! Masikini alipoteza muda mwingi kujenga kwa wenzake kwake kukaporomoka! SIASA ZA ULAGHAI KAMWE HAZITAFAULU!!
 
Kila mvua na msimu wake

Kwa wingu hili. Kuna mvua inaandaliwa tu!

Tuwe wavumilivu

Safari ya matumaini itaendelea baada ya ...

Umeelewa utakuwa!!!
 
Watu wa ccm wajinga sana.wanatumia nguvu nyingi kuupoteza upinzani.hapo hapo wanakuja kutukejeli.mwambieni mfalme wenu haruhusu harakati ziendelee.tulichofanya ukawa ni ******* mpe cheo.ila si kama tumemuogopa
 
Zile shamrashamra za kuzungusha mikono, kudeki barabara, kuigiza kuzimia, kuchukua photoshop ya maandamano ya Ughaibuni na kulaghai watu nyomi ya Mikutano bandia zimeishia wapi?

Wapi Mgombea Mwenza mwenye mbwembwe na machachari? UKAWA umekuwa UKIWA! Very Sad!! Huku Gongolamboto hatuwaoni tena mkiigiza kupanda daladala wala kuonja uji wa Mama Ntilie Buguruni! Ah nikukumbuka bendera kwenye pikipiki na biashara ndogo ndogo!! Hata ile Salaam yetu bado ipo?? Waaaaaapiiiii!
Watu hawataki ulaghai, wanataka Sera madhubuti za kutatua kero zao. Watu hawataki vigeugeu wanaosema leo hiki cheusi na kesho wakasema Cheupe!! Wanaopa kutompokea Fulani na kesho wakamfanyia Sherehe!

Wapi Bwana habari wa UKAWA?? Alipoteza majimbo manne (4)akarudi peke yake!! Masikini alipoteza muda mwingi kujenga kwa wenzake kwake kukaporomoka! SIASA ZA ULAGHAI KAMWE HAZITAFAULU!!
Ukawa umesambaritka,kila mtu ana zigo lake.Sefu chama kabaki nacho pemba,Makaidi yupo mbele ya haki,Mbowe ana kimeo cha Twiga na NHC jumla ni 10 Billion,James ana majaribu yake nae.Kwa sasa ukiitisha kikao cha ukawa unaweza kutukaniwa mama yako na mmojawapo wa viongozi utakae mpigia simu
 
Hahahaha Mwinyi kaitwa ikulu jamaa yule au BWANA YULE maji yamemshinda.

swissme
Alienda Mkapa mkazua hivyo hivyo,akatoka na UDOM,kaenda JK mkazua kaonda kuomba poo,akatoka na UDSM,kaenda waitara mkadai kaenda kumuonya Rais,akatoka na TANAPA,makazua mzee ruksa katengwa,sasa kaenda unazua lingine
Hivi hujui kama ma Rais wastaafu wanahudumiwa na ikulu?unaona ajabu Mwinyi kuitwa ikulu?
Bavicha mmeishiwa mnasubiri matukio tu
 
Nyie mnalipi la kujivunia na ushindi wenu wa kura za Wizi??
Kikubwa mlichofanya ni kuididimiza Nchi kiuchumi basi.
 
Alienda Mkapa mkazua hivyo hivyo,akatoka na UDOM,kaenda JK mkazua kaonda kuomba poo,akatoka na UDSM,kaenda waitara mkadai kaenda kumuonya Rais,akatoka na TANAPA,makazua mzee ruksa katengwa,sasa kaenda unazua lingine
Hivi hujui kama ma Rais wastaafu wanahudumiwa na ikulu?unaona ajabu Mwinyi kuitwa ikulu?
Bavicha mmeishiwa mnasubiri matukio tu
mkapa alienda kulinda mali zake mashamba ya miwa na kilombero suger mali alizoibia watanzania na sasa watanzania ni masikini.

swissme
 
Zile shamrashamra za kuzungusha mikono, kudeki barabara, kuigiza kuzimia, kuchukua photoshop ya maandamano ya Ughaibuni na kulaghai watu nyomi ya Mikutano bandia zimeishia wapi?

Wapi Mgombea Mwenza mwenye mbwembwe na machachari? UKAWA umekuwa UKIWA! Very Sad!! Huku Gongolamboto hatuwaoni tena mkiigiza kupanda daladala wala kuonja uji wa Mama Ntilie Buguruni! Ah nikukumbuka bendera kwenye pikipiki na biashara ndogo ndogo!! Hata ile Salaam yetu bado ipo?? Waaaaaapiiiii!
Watu hawataki ulaghai, wanataka Sera madhubuti za kutatua kero zao. Watu hawataki vigeugeu wanaosema leo hiki cheusi na kesho wakasema Cheupe!! Wanaopa kutompokea Fulani na kesho wakamfanyia Sherehe!

Wapi Bwana habari wa UKAWA?? Alipoteza majimbo manne (4)akarudi peke yake!! Masikini alipoteza muda mwingi kujenga kwa wenzake kwake kukaporomoka! SIASA ZA ULAGHAI KAMWE HAZITAFAULU!!

Siku ya harusi anaijua Bwana harusi na si Bibi harusi,lakini siku ya kifo anaijua muumbaji wako na si wazazi au marafiki zako.La UKAWA waachie UKAWA.

Sasa hivi ukiwa hata na Bendera mpya kwenye BIASHARA yako utakutana na POLICCM utadhani nyuki wameona mzinga
 
The idea of changes raise On the memory of Tanzanian no one can stop it, and changes is not like a switch it is a long process with a lot of challenges.
 
Andika tu kwa Kiswahili maana lugha ya wenyewe inakupiga chenga kidogo!!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom