Nauliza tu;- Hivi Hii Ndio Roho Ya Paka!?.

Badala ya kutoa huduma ya kwanza watu wapo busy na ku record video...ama kweli binadamu tumerogwa vibaya.
 
Badala ya kutoa huduma ya kwanza watu wapo busy na ku record video...ama kweli binadamu tumerogwa vibaya.
Siku hizi majeruhi anapiga selfie... Hizi Simu Janja zimefanya watu wawe watumwa fulani hivi...Unakuta ajali imetokea lakini watu ndio kwanza wanapiga picha na kurecord video badala ya kutoa msaada
 
Kwa mujibu wa nguo aliyovaa anaokana Fundi
sidhani, Transmission line kama hzo zinatoka moja kwa moja kwenye power plant na zinakuwa na umeme wa kutosha baada ya kuongezwa na transformer.
Sio rahisi kuzifanyia maintance kama grid husika haijazimwa
 
Haijulikani kama ni fundi umeme au kibaka hiyo ndio waya ya stima
 
Back
Top Bottom