SweetyCandy
JF-Expert Member
- Sep 17, 2022
- 5,387
- 10,300
Wa afya yaakili hebu nenda googleMadaktari gani hao walisema hivyo?
Huko kwa waganga wa kienyeji unajitakia mwenyewe, mtu kadidisha anakwambia vuo nguo zote inama nikuingizie dawa wewe unatii. Acha ikuingie.Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili .
Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao .
Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi kila daily na watu tofauti ila wao ndio wanatatizo la afya ya akili.
Hata wanandoa wananyanduana kila daily na ndio wao wana matatizo ya afya ya akili inachoonekana ni kwamba kufanya mapenzi sio afya ya akili bali ni uharibifu wa akili .
Nibora mtu achague kutafuta hela sana kuliko kuweka nguvu katika mapenzi.
Kwanini awe na tamaa ??Huko kwa waganga wa kienyeji unajitakia mwenyewe, mtu kadidisha anakwambia vuo nguo zote inama nikuingizie dawa wewe unatii. Acha ikuingie.
cousin mshauri da mau 😵😹😸Kama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili .
Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao .
Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi kila daily na watu tofauti ila wao ndio wanatatizo la afya ya akili.
Hata wanandoa wananyanduana kila daily na ndio wao wana matatizo ya afya ya akili inachoonekana ni kwamba kufanya mapenzi sio afya ya akili bali ni uharibifu wa akili .
Nibora mtu achague kutafuta hela sana kuliko kuweka nguvu katika mapenzi.
😂😂Wewe na Unique Flower mnafanana akili
Kwenye hayo makundi watoe waganga tafadhali.. Ile sip ngono ni tiba.. Baadhi ya dawa hutakiwa uume ndio uingizeKama madaktari na watu wengine wanasema kutofanya mapenzi muda mrefu ni kupata tatizo la akili .
Nauliza mbona waganga wameoa wake hadi 10 , na zaidi , na bado hawana afya ya akili nawamechanganyikiwa tu . Hadi wengine wanaparamia wateja wao .
Kuna hawa wanaojiuza mbona wao wanafanya mapenzi kila daily na watu tofauti ila wao ndio wanatatizo la afya ya akili.
Hata wanandoa wananyanduana kila daily na ndio wao wana matatizo ya afya ya akili inachoonekana ni kwamba kufanya mapenzi sio afya ya akili bali ni uharibifu wa akili .
Nibora mtu achague kutafuta hela sana kuliko kuweka nguvu katika mapenzi.
Ukonga ndio wapi?? Kazi kiherehereLissu anateseka bure tu huko Ukonga. Kama watu anaowapigania ndiyo hawa afadhali tu arudi zake Ubelgiji 🚮
Kama lako lishaachiaWe nae,hivi dishi halijayumba kweli!?🤔
Lete link twende tukasomeWa afya yaakili hebu nenda google
SasaTena hao waganga wanakula sana wateja wao na hawaridhi
Tax bubu hiyo 😹