Nauliza nipate kuelewa

Nauliza nipate kuelewa

Wadau wenzangu wa JF, mimi mwenzenu za KICHINACHINA napatwa na wakati mgumu kuelewa dhamira ya huyu mh. sana W.Lukuvi ya kuwasimamisha kazi wale jamaa ambao ni maarufu kwa kuiga signature za watu na kuuza maeneo ya fukwe za Bahari na yale maeneo ya wazi, amefanya vizuri lakini je; ni Kinondoni peke yake au? alikuwa wapi siku zote kuyafahamu haya? ni fukwe ngapi anaweza kutuambia zimeuzwa kwa hao ambao mimi hupenda kuwaita WAPORAJI?
 
ivi mkuu wa mkoa ana uwezo wa kumfukuza kazi muajiriwa????????? am i missing something! mkuu wa mkoa si kateuliwa, its not professional job i thought!
 
Back
Top Bottom