Nauliza lain ya mpesa

syllae

JF-Expert Member
May 29, 2015
1,794
1,910
Habarini

Kam kichwa kinavojieleza nauza lain ya mpesa bei ni 150000tsh. Haina tatizo lolote na ina document zote za muhimu ,,,napatikana ubungo maeneo ya kona

Mawasiliano 0752402586
0716058858
 
Si nasikia hizi line huwa zinatolewa bure muhimu uwe na TIN na license ya biashara?au wamebadilisha masherti?
 
Hongera kwa kuuza chako,yaan we lain uipate bure kabisaa,halaf uuze laki moja na nusu?? Ila najua wasiojua watakuja kununua tu wala usijali
 
Mkuu kwani hujaelewa...mbona kuna watu mnajifanyaga mnaleta sana ujuaji humu
Kwani nimecomplain au?
Kabla mtu hajafungua uzi lazima asome kichwa cha habari,vipi kama akiomba moderators wamsaidie kuweka vizuri huoni inaweza msaidia sababu inawezekana kweli kuna mtu anataka kununua.Sasa kwa inavyosomeka inawezekana wengi wasiufungue!!!
Think twice kabla hujaleta blah blah zako
Rubbish
 
U

Unajua sana matusi????
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom