Nauliza jinsi ya kupika ubuyu wa Zanzibar

Miss julie

New Member
Aug 20, 2020
1
1
Habari zenu wote natumai mu wazima

Mimi nimuajiriwa ila nahitaji kipato cha ziada mara kwa mara nimekuwa nikijaribu kutengeneza ubuyu lakini umekuwa hautokei kama unavyo paswa sasa nashindwa kujua shida hipo wapi

Mfano leo nimebandika maji yakachemka nikaweka rangi kidogo nikaweka sukari pilipil manga vikachemka mpaka kutoa povu kisha nikaweka Simba kijiko kimoja ikachemka mpaka kunata nikashusha nika changanya na ubuyu pamoja na unga wake lakini bado haijawa kama vile inavyo paswa wapendwa nakosea wapi.

IMG_20200829_125858.jpg
 
Back
Top Bottom