Nenda kafundishe kwa moyo wote Nzega wakalimu mno,pia maisha nimarahisi sana,chumba unapata kwa elfu 15/20 kizuri tu.Maji yakunywa simple sana kuyapata mengi kwa gharama ndogo,ndoo kubwa ya maji sh 100.Pia nimetokeko hivi karibuni ingawa nimekaa wiki 2 sikuona umeme kukatika.