Nauliza, eneo la Jangwani leo kukoje?

Nauliza, eneo la Jangwani leo kukoje?

Na hali hii ya mvua ,je Jangwani panapitika?
Mkuu kuanzia sasa hupaswi kuuliza wala kuwa na wasi wasi Jagwani kujaa. Mchina yuko Site kuanzi April 1. Kuna Vijiko zaidi ya 20 vinachimba ule mto kutoa tope na mchanga. Mashine 10 upande wa juu, mashine 10 upande wa uelekeo wa Bahari. So kwa jitihada hizi kwa sasa maji yanapita bila kipingamizi na hata ikitokea sintofahamu Mchina anafanya yake fasta. DMDP oyeeee!
 
wiki juzi ijumaa tumeogelea pale,acha kabisa
 
Back
Top Bottom