nani kakwamia mimi ni muoga siogopi chochotenimeandika kwa sababu sikuwa na uhakika km nauli imepanda ndo maanawa tz waoga sana,..upo ndani ya sheria,.makonda wanavunja sheria alafu baada ya kusimamia haki yako mtu unanungunika na kulalamika,..sasa ulitaka nani akusaidie kukulipia nauli na kupunguza nauli,...usitegemee kiongozi kwakila jambo simamia haki yakooooooo mtz
usingelalamika sasa,..we muoga bhananani kakwamia mimi ni muoga siogopi chochotenimeandika kwa sababu sikuwa na uhakika km nauli imepanda ndo maana
wacha kunizingua wewe alaausingelalamika sasa,..we muoga bhana
wacha kunizingua wewe alaa
niliahachungulia nikaona sijui ni shule ipi ya Kata yupo teheAchana nae Huyo kula kulala atakuumiza kichwa
Tatizo serikali wanaupendeleo kwa Moses Kisena. Kwanza walimpa shirika letu kihuni. Pili wakampa uoendeleo magari yake kwenda popote bila kikwazo. Lakini pia wakatuongezea maumivu watu wa Kigamboni eti lazima upande UDA. Zamani toka Buguruni - Kivukoni ilikuwa 400 tu lakini now lazima uwe na 800. Kutoka Ubungo au Gongolamboto au Mbagala the same but not now. Kama vile haitoshi wamempa tena Rapid Transport ambapo wanatuongezea nauli mara dufu. Kama walivyotangaza. Na kunatetesi hata ulipaji wao wa Kodi ni fraud tupu. Bora nao wapandishe maana upendeleo huu kwa mtu mmoja unatia mashaka. Haya ndio yale ya Home Shopping CentreITAKUWA IPO LIKIZO AISEE ILA SI SAWA KUPANDISHA BEI KIHOLELA
tuyagomeeeee leo nimesikia serikali imekubali jambo flani kwa hao dart nikapata preshaTatizo serikali wanaupendeleo kwa Moses Kisena. Kwanza walimpa shirika letu kihuni. Pili wakampa uoendeleo magari yake kwenda popote bila kikwazo. Lakini pia wakatuongezea maumivu watu wa Kigamboni eti lazima upande UDA. Zamani toka Buguruni - Kivukoni ilikuwa 400 tu lakini now lazima uwe na 800. Kutoka Ubungo au Gongolamboto au Mbagala the same but not now. Kama vile haitoshi wamempa tena Rapid Transport ambapo wanatuongezea nauli mara dufu. Kama walivyotangaza. Na kunatetesi hata ulipaji wao wa Kodi ni fraud tupu. Bora nao wapandishe maana upendeleo huu kwa mtu mmoja unatia mashaka. Haya ndio yale ya Home Shopping Centre
hawamtaki sababu aliwabana vigogoNadhani tumrudishe mzee mwaibula aliwaweza hawa daladala