Nauli yangu toka Texas kuja nyumbani lounge imetumika sawia kabisa

kwikwiwkwiwkwiwkwiwk na trela ndio imeanza bado muvi hahahahahah
 
Nilisoma ujumbe wa jide kwenye tweeter anasema SUGU KASHANGILIWA SANAAAAA,,,
na humu kuna wadau walim'beza sana SUGU HAPA

Napata harufu ya CDM (sugu, prof,..) vs CCM (clouds, FA aliyeikataa Tanga all stars). Ni mwanzo tu wa kufikiri, naweza kua nimepoteza!

tragedy of the commons
 
Nimefurahia show ya JIDE hapa Nyumbani Lounge, hakika ni mapinduzi makubwa JIDE akiwa na mama yake mzazi ameonyesha njia kwa wasanii wa kike kufanya kazi zao kwa bidii na kuwa na heshima. JIDE ameungwa mkono na watu wazima, vijana na watoto , ni heshima kubwa na namsihi sana atunze na kulinda heshima hii, kama ana mapungufu kadhaa ya kibinadamu ajirekebishe, umatu uliomuunga mkono katika kipindi hiki cha mifarakano ni hazina kubwa.

JIDE amepigana dhidi ya mfumo dume , kandamizi na wenye minyororo wenye kutaka kuabudiwa, hivyo basi wasanii wazinduke wawe huru kufanya kazi popote na mtu yeyote ili kujiondoa kwenye uonevu, kazi ndiyo uwe msingi wa ushindani na sio kubebwa na kubembeleza.

Nikamate KLM nirejee kazini.

Phd (Dar es salaam)

Mimi alikosha alivyochana verse ya Mr Blue katika ngoma ya Wangu. Aisee kawazima ziiiiiihhhh!
 
clouds FM mmeona sasa mlichokifanya eeeh sasa mmemneemesha Jide anakula maisha na kila mtu anam0enda mlikuwa hamna haya ya kushibdana nae.

Naapa mimi mwenyewe ningekuwepo dar ningeenda kwa Jide.
 
Back
Top Bottom