Nauli ya kwenda Marekani

Mwaka 2012 nilibahatika kwenda Usa holiday kwa kweli nilisave kama 5m tsh na zilinitosha kabisa na change ikabaki na na nilipanda BA tiketi iilikua usd 1700 kupitia dsm london Chicago to Kansas then return Nyc london dsm
 
JF iko vizuri sana kupitia watu kama nyinyi any way Asante kwa niaba ya msafiri anaenda Amerika maana na sisi tunaoenda Nanjilinji tumejifunza kitu.
 
Hata Justin Bieber....David Beckham na wengine wengi tu.

USA baby.....
Ebu tuwekeeni vitu vinavyoeleweka hapa nauli hasa kima cha juu ni sh ngapi za kibongo na cha chini ni sh ngapi ili tujipange sio danadana tu au mlipelekwa tu huko mpaka leo hamjasafiri mbasubiri mrudishwe tena[emoji23] [emoji23] nilikutegemea wewe utuchanganulie hapa nauli naona una kwepakwepa tu.
 

Mi tokea nije USA sijawahi kutoka tena maana nikitoka sijui nitarudije.

USA baby......
 
na nauli ya kufika huko?
 
na nauli ya kufika huko?

Kutoka Dar May 12th May, 2016 na kurudi 31st May, 2016 Dar via Dubai to George Bush Airport USA Texas return ticket ni USD 1,172. That is Economy Class Emirates Airline, very cheap at good quality service. Rate ya US dollar this week was 2,241.
2,241×1,172 = 2,626,452 Tanzania shilling.

Ndugu kuanzia hapo jiongezeeee. Tumia Google kumalizia mengine maana hata haya niliyoweka hapa pia nime Google.

Kasie.
 
Kwa mahesabu yangu nikiwa na surplus ya 20m lazima niingie hapo states nikaoshe macho na mimi. Tena lazima pia niingie pale las vegas nikacheze poker pale mgm casino maana nshajifua kabisa
 
Mi tokea nije USA sijawahi kutoka tena maana nikitoka sijui nitarudije.

USA baby......

Unawachokoza eeh, ngoja waje wakushukie kama mwewe anavyoshukia kifaranga cha kuku!.[emoji3][emoji3]
 
Sidhan kama hapa tanzania umetembea kweli kusafsha macho kuna mbuga kubwa za wanyama ,mt.kmnjaro,mito ,mabwawa,viumbe na maliasili za kutosha bla kuwasahau na wamasai....hela yako ingewasaidia weng sana USA hamna jpya n majengo maref na barabara kubwa .....ila kama vp nenda tuu uwazidi viongoz wetu maana hao wamepigwa marufuk ziara zao .....nauli haizid mil 4 inategemea na class gan unakata
 
I have collected flight cost data from across the web for travel from Dar Es Salaam to Washington, and have found the average flight price for this trip to be TZS 6,369,684
Dah...hela ya kununua gari nzuri kabisa ya kuopolea watoto wazuri uswahilini.

Dah...kodi ya nyumba(self container swafiii fenced yenye parking ya kuingiza mtoto mzuri) tena kodi ya mwaka mzima. Hlf U.S.A kuangaza macho tuu?[emoji54]

Nimewaza tuu.
 
Kwenda tu au kwenda na kurudi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…