king majah
Member
- Jan 10, 2013
- 61
- 50
Nauli ya kigoma to dar es salaam Ni sh ngapi?
Kwa mujibu wa SUMATRA mabasi ya kawaida ni TZS. 59,800/= na yale semi-luxury ni 81,900/=.Nauli ya kigoma to dar es salaam Ni sh ngapi?
Ha ha ha ... Eti dar lux, utajuta kusafiri Mkuu! Nenda Na Tungis by sa5 upon Mza.45,000/=
Dar-Luxy or Kisesa
Dar lux usithubutu kupanda utajutia safari ykoHivi dar lux zinakwenda SONGEA ?kwa yeyote anayefahamu msaada please au kama siyo dar lux ni basi gani zuri la kutoka dar -songea na bei zake