Nauli mpya mabasi ya Dar-Mwanza

Nauli mpya mabasi ya Dar-Mwanza

kyalankota

JF-Expert Member
Joined
Jul 27, 2014
Posts
2,594
Reaction score
1,463
Wakuu natanguliza salamu zangu kwenu. Poleni na majukumu ya hapa na pale.

Naomba kujua Range ya nauli za Usafiri wa basi Dar-Mwanza kwa sasa bei gani? Na ni mabasi gani yapo comfortable zaidi na yanafika muda mzuri Mwanza?

Kwa aliyesafiri hivi karibuni tafadhali naomba jibu.

Natanguliza shukrani za dhati kabisa. Akhsanteni sana.
 
45,000/=
Dar-Luxy or Kisesa
 
Mkuu as hv hakuna cha mda mzuri...tochi zimekaba mjiani...mwnz unaingia sa tano au sita...kampun nzuri na affordable ni kisesa au zuberi tsh 40000 na ukfika mwanza unaweza kulala kwenye ofc zao...mabas mengne ni isamilo, dar lux, Leo, kidia, super samy, shabiby n.k but yanaanzia 45000 na kuendelea kulingana na daraja la bas
 
Asante sana mkuu. Je, kuna haja ya kukata ticket mapema au? Nasafiri kesho ila huwaga sipendi kukata mapema kuhofia pressure ya kuchelewa unless otherwise kuwe na shida ya usafiri.
 
Mkuu as hv hakuna cha mda mzuri...tochi zimekaba mjiani...mwnz unaingia sa tano au sita...kampun nzuri na affordable ni kisesa au zuberi tsh 40000 na ukfika mwanza unaweza kulala kwenye ofc zao...mabas mengne ni isamilo, dar lux, Leo, kidia, super samy, shabiby n.k but yanaanzia 45000 na kuendelea kulingana na daraja la bas
Asante kwa muongozo
 
Mkuu nauli huwa ni 40,000 au 45,000 hii ndiyo nauli. Inategemeana na aina ya bas lkn nauli haiwezi kuzid hapo.
Kutoka mwanza mpaka dodoma ni 30,000. Kutoka dom kwenda dar ni 15,000, mengine ni 16,000, 17,000, (20,000, 25,000, 30,000 luxury bus)
 
Andika neno Nauli Mwanza Dar es Salaam au mahali popote unapotaka kwenda kwa njia ya basi tuma kwenda namba 15276; SUMATRA watakuletea jawabu na nadhani makato ya huduma hiyo ni sh.120 kwa mtandao wowote. Kampuni gani ni nzuri hapo watakusaidia wadau wengine.
 
Asante sana mkuu
 
Thanks
 
Hivi dar lux zinakwenda SONGEA ?kwa yeyote anayefahamu msaada please au kama siyo dar lux ni basi gani zuri la kutoka dar -songea na bei zake
 
40000 kwa zuberi na kisesa
Zuberi kuna charge na ni safi ila unapaswa kuwahi kidogo maana huwa yanawahi kujaa
Pia ni masafi ndani na ni yale ya two by two sijui kama 3/2 bado zipo
Kuingia ni saa sita au tano ukipenda utLala nata kusave cost
Dar lux ni wazuri ila kama una miguu mirefu utaumia sana
Kuna shabiby nimeona kwenye picha ni luxury sana ila sijui kama inaenda mwanza
Kwa bahati mbaya baadhi ya magari unakata hili kesho unapandishwa lile ila kwa zuberi na kisesa ulilokata ndilo utakalopanda pia yanasimama sehemu nzuri sana za chakula mfano msolwa filling station
 
Back
Top Bottom