Nauli Dar mpaka Mbeya

Nauli Dar mpaka Mbeya

mavado

JF-Expert Member
Joined
Jun 25, 2014
Posts
1,153
Reaction score
801
Jamani msaada , ati nauli dar-mbeya ni shilingi ngapi???
 
Usafiri gan sasa?usije sema punda
 
Bus luxury two by two si chini ya 45000,hapa ni ndenjela,mby express n.k.kwa yale mabasi ya ki hip hop(upendo,majinjah na mengineyo) ni mwendo Wa 30000 mpk 35000.ingawa samtym ukijiliza hata 26000 unaitafuta Uyole.
 
Ndenjela safi sana. Wale madreva wake wadada wale, noma. Hawana mizaha na wako makini kiaina. Waongeze mabus mengine yaende mikoa mingine tanzania. Ni mfano wa kuigwa.

Ni kweli.kwa njia ya dar mby ni Mara ya kwanza tulishuhudia madereva wanawake walio makini.verry serious
 
Kama kwa IT nenda pale ubungo mbele kidogo ya Tanesco.

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mkuu kuna vigari vinavyotoka bandarini na kusafirishwa kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, ukizipata hizo unaweza kuondoka hata kwa ten tu.
 
Mkuu kuna vigari vinavyotoka bandarini na kusafirishwa kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, ukizipata hizo unaweza kuondoka hata kwa ten tu.

Hakuna IT wanayokubali kwa ten sasa hivi.uzoefu unaonyesha wameshashtuka so huwa wanakaza sana angalau wayakaribie mabasi.wamegundua ni usafiri unapendelewa sana na 'watu wabishi' km otenativ ya kusev nauli.ila kwa kuwa tumetofautiana sanaa ya bargaining may be anaweza pata kwa ten
 
IT ni mzuka lakini zinakimbia sana 25 mpaka 20, Abood,Nganga,Majinja,happy nation 30, zile luxury kama new force,happy nation 2*2, sai baba, TSK 38 mpaka 45, upendo budget 28 mkuu, Ila kama unataka kuwahi option ni Abood,Nganga, Happy nation Hapo mapema ila uwe na moyo chuma maana huko njiani...
 
mkuu kuna vigari vinavyotoka bandarini na kusafirishwa kwenda sehemu mbalimbali ndani na nje ya nchi, ukizipata hizo unaweza kuondoka hata kwa ten tu.
hivi vigari vp unaeza nipa connection na hawa jamaa wa it
 
Back
Top Bottom