Wakuu mnotumia whatsapp Mimi natumia tecno WX3, nina shida moja kuna mda statuses za watu zinafutika zote kwenye screen bila ku-view, yaani kuna kuwa hakuna Recent updates wala viewed updates, screen inakuwa empty!
Nimejaribu kutumia WhatsApp zingine hali inakua hivyohivyo! Shida ni nini?
Msaada wenu tafadhali.