Fahamu namna ya kuondoa option ya kupata update za whatsapp status

kijazi07

JF-Expert Member
Feb 14, 2016
1,030
2,168
Hii ni kwa wale wanaotumia fmwhatsaap, yowhatsaap, gbwhatsaap na nyingine kama hizi ila sio kwa wale wanaotumia whatsaap ya kawaida

Fungua whatsaap yako then click kwenye vidot vitatu unavyo viona kwa juu then utaclick option inayoitwa

FOUAD MODS then utaclick

HOMESCREEN then utaclick

STATUS then utaona kwa chin kuna option tatu zinafuatana unatakiwa uzikubal zote yan uzi enable

1.Muted update
2.viewed update
3.recent update

Baada ya hapo ukirud kule kwenye status hutakuta kitu hata watu waweke status ww utakuwa huon kitu

Mm nafanya hivi wakati wa mchana yaan mida ya kaz kiasi kwamb inasaidia kuwamakin na mambo yangu nitaingia whatsaap kama kuna ishu za muhim na huez kupoteza muda maana hakuna vitu vya kushanga shangaa then after mihangaiko ikifika usiku ndo narudia hivyo hivyo kisha na disable ndo nashangaa status za watu sasa

Screenshot_20200527-165100_FMWhatsApp-01.jpeg
Screenshot_20200527-164525_FMWhatsApp.jpeg
Screenshot_20200527-164517_FMWhatsApp.jpeg
Screenshot_20200527-164504_FMWhatsApp.jpeg
Screenshot_20200527-164548_FMWhatsApp.jpeg
 

Attachments

  • Screenshot_20200527-165100_FMWhatsApp-01.jpeg
    Screenshot_20200527-165100_FMWhatsApp-01.jpeg
    46 KB · Views: 1
Back
Top Bottom