Natumia startime, sauti hakuna channel zote.

Natumia startime, sauti hakuna channel zote.

sadalla

Member
Joined
Nov 24, 2012
Posts
78
Reaction score
71
msaada tafadhar, nataka niangalie mkutano mkuu wa ccm.Hakuna sauti au tv yangu inamatatizo?
 
Labda ujaribu kukonect vizuri zile nyaya za za sauti nk. Pia unawezaje kuwapigia na kuripori tatizo lako labda watakusaidia
 
Back
Top Bottom