Amba Samedi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2024
- 205
- 336
Habari wanajamvi,
Natumaini Jumatatu yako imeanza vyema. Nami pia niko salama. Nimejibanza kwenye kona moja hapa patlivuuu kuandika maneno haya.
Katika pitapita zangu, nlikutana na DukaPro (DukaPro Business Software (Accounting & Point-of-Sale Software)), na nahisi ni programu nzuri kwa usimamizi wa maduka na shule. Hata hivyo, ninatafuta program/software kama hii inaotoa vipengele kadhaa ambavyo DukaPro haina—hasa API kwa ajili ya kutumia na software zingine ambazo nnazo.
Hiki ndicho ninachotafuta kwa sasa:
Je, kuna mtu/kampuni ambayo ana/wana programu inayofaa hivi? Nakaribisha mapendekezo yoyote.
- Programu inayofaa katika matumizi ya duka na shule (kama DukaPro). Nna wateja kadhaa wamejipanga, lakini siwezi kuscale vya kutosha kwa timu ndogo nliyo nayo.
- Uwezo wa kuibrand – Ili niendeshe biashara chini ya jina la kampuni yangu.
- Bei ya kudumu (lifetime) – Ningependa gharama ya moja kwa moja badala ya malipo ya kila mwezi. Hii ni kutokana na aina ya wateja nnaowahudumia kwa sasa.
- Support – Kipengele hichi ni muhimu sana kwangu. Nlitaka software ambayo nikipata shida, msaada upo, wa kawaida na wa kitaalam.
Ina API?Mnatumia program gani ku-manage biashara? Binafsi natumia Gavana
Kama umechoka kuandika kila kitu kwenye daftari, unakosea bei kila siku, au hujui biashara yako ina faida au hasara – hii software ni yako! Inaweza Nini? Inaangalia biashara yako mwanzo hadi mwisho: Unauza bidhaa Unaweka madeni na mikopo Unajua faida yako muda huo huo Unachapisha risiti...www.jamiiforums.com
API tena ya nini mkuu wewe ni user au developer?Ina API?
OK tumia Gavana Gen 1c hii ni Gavana Gen 1s mkuuMimi ni developer na user pia. Criteria ya kwanza ya system yoyote lazima iwe na api. Maana nafanya automation sina muda wa kulogin na kuclick click vitu
Tumia lugha rahisiOK tumia Gavana Gen 1c hii ni Gavana Gen 1s mkuu
mkuu mimi natumia Gavana gen 1s ila nasikia kuna toleo la gen 1c hili unaweza ku-monitor biashara zako zote hata zaidi ya office 10,000 kwa wakati mmoja na inakazi nyingi za mtandao ikiwa pamoja na hayo matakwa yakoTumia lugha rahisi
Ina API?mkuu mimi natumia Gavana gen 1s ila nasikia kuna toleo la gen 1c hili unaweza ku-monitor biashara zako zote hata zaidi ya office 10,000 kwa wakati mmoja na inakazi nyingi za mtandao ikiwa pamoja na hayo matakwa yako
kwasasa haijawa official ila ni zaidi ya API mkuu ilitolewa tu statement yake ila bado software haijaingia sokoni ni mpaka mwezi wa kumiIna API?
Hii ndo condition yangu. Hata iwe kali kiasi gani, bila API it can't be automated, and it won't fit my usecase.kwasasa haijawa official ila ni zaidi ya API mkuu ilitolewa tu statement yake ila bado software haijaingia sokoni ni mpaka mwezi wa kumi
you'r right bro ndio maana nikakwambia unahitaji gen 1cHii ndo condition yangu. Hata iwe kali kiasi gani, bila API it can't be automated, and it won't fit my usecase.