Natufuta Engine ya NISSAN CIVILIAN minibuss

Natufuta Engine ya NISSAN CIVILIAN minibuss

Docteur

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2012
Posts
239
Reaction score
233
Habar gani Wapendwa?
Poleni na Mjukum ya kila siku,

naja tena hapa kwa hili,
natafuta Engine ya Gari aina hiyo hapa.

Make - NISSAN
Model - CIVILIAN
Year of manufacture - 1998
Engine namber - ED350'10064
Engine capacity - 3100
FUEL USED - DIESEL

hata ikipatikana Half Engine upande wa "Block",(Saman kama nimekosea Herufi) itasaidia kusogeza siku, Ila iwe kwenye hali nzuri kwa Matumizi.

Napatikana kigoma kwa sasa,
kwa Yoyote mwenye msaada wa Kufanikisha hili tuwasiliane Kwa namba hii +255783444324
napatika pia WhatsApp.

Pia napokea ushauri wa Kuwezesha gari hii kutembea.

Natanguliza Shukran.
 
Back
Top Bottom