Natokwa na vidoti vyeusi kwenye ngozi

igoji

Member
Sep 5, 2010
65
6
Wana JF naomba mnisaidie kwa hili. kwa takribani miaka miwili sasa ngozi yangu inaharibika kwani natokwa na vidoti vyeusi hasa sehemu za tumbo,mgongoni na kwenye mapaja. mbaya zaidi miguuni vidoti hivi vinatengeneza duala(kama shilingi) nakuwa vyeusi sana na panavimba na wakati wa joto vinaniwasha sana. Nimeshatumia dawa za antifungal lakini hazisaidii chochote kwa vile hii sio fungal infection.

Wakati nipo europe last year nilikwenda hospital ya chuo nilichokua nasoma na kupima vipimo vyote ikiwepo HIV, cancer, Fungas, Biochemical test, vyote vilionyesha negative except glucose leval was slightly higher. wakaniambia wameshindwa kujua na niwaone wataalamu wa magonjwa ya ngozi. kwa kweli gharama zilinishinda. nina miezi mitatu sasa toka nirudi home (TZ) na naamini kupitia jukwaa hili mtanipa ushauri.
 
Embu nenda ANGAZA ukapime tena kipimo kikubwa, wanashauri kurudia vipimo baada ya miezi 3
 
Back
Top Bottom