Huyu mpenzi wangu nampenda sana ila ana wapenzi wengi( huwa naikagua simu yake), nimejaribu kumuacha mara nyingi nimeshindwa, hatuishi pamoja ila tuna malengo, nifanyeje ili niachane nae maana nimemchoka kwa tabia yake ya uzinzi
kuna mtu ana ananipenda lakini mimi simpendi mda mwingine nampenda ila ninae ninaempendaHabari za jioni, leo nadedicate masaa kadhaa ambayo nitatoa ushauri kwenye masuala mbalimbali ya mahusiano. Wale watakaopenda niwape ushauri hapa karibuni na wale mtakaopenda kushauriwa kwa faragha pia karibuni.
kuna mtu ana ananipenda lakini mimi simpendi mda mwingine nampenda ila ninae ninaempenda
Mimi sitaki uzi nataka unipe mzigo huo tu jamani
Hee..!! Mzigo upi tena??!!
Madam hope uko salama, kucheza na mbwa hakuna age so you can still play with “German Shepherd”
Njoo pm nikwambie
Toobaaah. ...... nakuja na helmet. .....
Helmet yann sasa?
Hahaha hata sielewi nimeisikia PM network ikakata, hivi nimeandika helmet looh!!
Itakuwa huko PM kuna hatari mbona nimesaula hivii hadi napata wengee hehehehehee.
Njoo basi mm mwnyw nmesaula uje kuona
Hahahahahahaaa ungeuona uso wangu ulivo kuwa baada ya kusoma ujumbe wako, nyusi zimenyanyuka juu macho yametoka pimaa midomo ikaachama kidoogoo..... mshangao wa silence hehehehehee
Wee Nokia wewee, sema nimegundua kuna kitu tunafanana, ila mie ni mama yako mdogo.
Namm napenda wamama kwa sababu mara nyingi wanahimili vishindo
Mm natamani kupata mume wanaotoka bala la Amerika au Europe nipe mbinu nifanyaje?
Hehehehehehee hee mimi niko tofauti, siwezi kuvumilia.
Tai yako imezuia. ......