Natoa siku 3 kuanzia Leo aliyegonga gari yangu eneo la club D Jijini Arusha na kukimbia la sivyo kitakachomkuta tusije kulaumiana

wankuru nyankuru

JF-Expert Member
Feb 11, 2019
495
769
Jana kulikuwa na Sherehe ktk eneo la club D Jijini Arusha ,nikiwa ukumbini Ile natoka Sasa kwenda nyumbani nikakuta gari imegongwa na huyo mtu akawa ameondoka, kuuliza walinzi nao wanajidai Kila mtu hajui aliyegonga.

Sasa Kwa sababu amekimbia bila ya kuwa na utu, mm natoa siku tatu ajitoke arudi pale club D anitafute.

La sivyo hataamini kitakachomkuta huko barabarani ndani ya siku 7 kuanzia Leo.

Mm ni msukuma wa bariadi vijijini , narudia mm ni msukuma wa bariadi.
 
Acha mikwara mbuzi we kenge

Kama unautaalamu huo si ungemkamata on the spot?
 
Jana kulikuwa na Sherehe ktk eneo la club D Jijini Arusha ,nikiwa ukumbini Ile natoka Sasa kwenda nyumbani nikakuta gari imegongwa na huyo mtu akawa ameondoka, kuuliza walinzi nao wanajidai Kila mtu hajui aliyegonga.

Sasa Kwa sababu amekimbia bila ya kuwa na utu, mm natoa siku tatu ajitoke arudi pale club D anitafute.

La sivyo hataamini kitakachomkuta huko barabarani ndani ya siku 7 kuanzia Leo.

Mm ni msukuma wa bariadi vijijini , narudia mm ni msukuma wa bariadi.Fanya kweli @ Ngosha,

Mnyooshe iwe fundisho kwa wengi.

Achana na wanaokukejeli wewe Fanya kweli kwa mtesi wako apate kujifunza uungwana.
 
Jana kulikuwa na Sherehe ktk eneo la club D Jijini Arusha ,nikiwa ukumbini Ile natoka Sasa kwenda nyumbani nikakuta gari imegongwa na huyo mtu akawa ameondoka, kuuliza walinzi nao wanajidai Kila mtu hajui aliyegonga.

Sasa Kwa sababu amekimbia bila ya kuwa na utu, mm natoa siku tatu ajitoke arudi pale club D anitafute.

La sivyo hataamini kitakachomkuta huko barabarani ndani ya siku 7 kuanzia Leo.

Mm ni msukuma wa bariadi vijijini , narudia mm ni msukuma wa bariadi.
Mimi ndio niligonga. Nakuruhusu nenda ufanye unachotaka.
 
Back
Top Bottom