jafusadiki New Member May 1, 2024 1 1 May 5, 2024 #1 Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia miaka 18 na kuendelea utachangia kidogo karibuni sana Kwa mawasiliano №0624250426 0689970551 Email; jafusadiki1@gmail.com TUNAPATIKANA MKOA WA MTWARA WILAYA YA NEWALA ASANTENI Attachments IMG-20240307-WA0009.jpg 70.2 KB · Views: 2
Habari wananchi kwa majina naitwa SADIKI JAFU ABDALA Napatikana Mkoa wa MTWARA wilaya ya NEWALA Natoa mafunzo ya umeme wa majumbai kwa vijana kuanzia miaka 10-17 kwa umri huo Amna malipo kuanzia miaka 18 na kuendelea utachangia kidogo karibuni sana Kwa mawasiliano №0624250426 0689970551 Email; jafusadiki1@gmail.com TUNAPATIKANA MKOA WA MTWARA WILAYA YA NEWALA ASANTENI
Ushimen JF-Expert Member Oct 24, 2012 38,038 88,088 May 6, 2024 #4 Ebu fafanua hapo kwenye "kuchangia kidogo"