NATO sees no sign of Russian pullback from Ukraine border

siku USA ikiporomoshwa kutoka super power,nitagawa unga dar nzima.

Endelea kuota njozi za mchana,utakufa ukiiacha U.S bado ni Super Power. Unategemea Mchina ndio awe Super Power na Uchumi wake wakutegemea Export tuu huku Household yake ikiwa poor kabisa,Mchina huyu huyu anaeiba Copy and Paste Technology za Marekani ndio awe Super Power na mpaka inafikia hatua anaiba Technology then anapakia kwenye Ndege za Abiria kupeleka kwake na kusababisha Maisha ya watu wasiokuwa na hatia kuwa hatarini/kupotea,refer Malaysia Airline.
 
 
 
 

Nato ni marekani na nchi zingine za uraya kwahiyo msijidanganye kutofautisha haya majeshi.urusi anaifaham vizuri Nato kumbuka hata kama nato wataivamia urusi basi jua urusi ataihamisha hiyo vita na kuipereka marekani ambapo yeye ndio mchangiaji mkuu wa vikosi hivyo pia kama mnavyofahamu marekani hapendi vita ipiganiwe kwake sasa nn kitatokea hapo,
 

Ndo hiyo wamemuuzia msyria NATO na US wakaogopa kuingia
 

hapo kwenye kupotea kwa malysia airlines kuna uhusiano gani na kuibwa kwa tech.
 
 

hii ktu nilisomaga darasani ila nilikuwa nameza tu, sahivi ndo naanza kupata concept.
 
Haya tena,jimbo la Donetsk huko ukraine mashariki limejitangazia uhuru kutoka ukraine,pia tarehe 11 ,may kutakua na refrundum ya kujiunga na Russia.
 
Haya tena,jimbo la Donetsk huko ukraine mashariki limejitangazia uhuru kutoka ukraine,pia tarehe 11 ,may kutakua na refrundum ya kujiunga na Russia.

hile nchi itakwisha yote na kua urusi naona kama USSR inarudi vile,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…