Given the EU dependence on Russia for energy supplies, a whole European continent could be plunged into darkness literally overnight at Putins command.- Likewise, the very tenuous US economy could be sent into a dive were Russia and China to collude in-selling US Treasuries. -If Russia then stopped payment on all outstanding loans to the West and withdrew all cash from Western banks, there would be significant economic damage. Even worse, if Russian initiative completely-terminated the use of the US dollar-as the reserve currency that its been since 1944. -As the-largest exporter of oil and gas-in the world, Russia could probably collapse the petrodollar by itself, but if it could get its ally China to join in, America would become a Third World Country.
Unachekesha america could become a third world country?? Labda america ya Tanzania!!!
Acha akate gas na mafuta yake,kwa nchi za umoja wa ulaya!!!
Hv unazan kutoa gas rusia hadi china ni suala dogo??
Mbili kama marekani na eu wangekua wanatishika na huduma ya bwana Putin wangemwekea sanction??
wamemuwekea sanction laini sana kama kusave face(kufuta aibu kwamba hawawezi kurespond).Acha akate gas na mafuta yake,kwa nchi za umoja wa ulaya!!!
Hv unazan kutoa gas rusia hadi china ni suala dogo??
Mbili kama marekani na eu wangekua wanatishika na huduma ya bwana Putin wangemwekea sanction??
Huu ndo ule tunauitaga ubishi wa kiitikadi. Wewe unaonesha hujui chochote kuhusu uchumi wa taifa kama la marekani. unajua Russia anamiliki US treasure bills kiasi gani kutokana na biashara ya mafuta?, Je unajua ni kwa kiasi gani thamani ya treasure bills za US zimepungua baada ya russia kuhamisha kutoka mabenki ya marekani kwenda ulaya baada ya US kuingilia mgogoro wa Crimea?. Na pia kabla hujaanza ubishi jua kwanza how much the Russians owe the US mpaka wanatishia kutolilipa hilo deni kama US wakiwawekea vikwazo.
Mimi au we we ndo mwenye tatxo kwenye lugha?? Nimekuuliza swali dogo sana unaweza mtukana baba yako wakati ndo anakulea?? Kama Russia aliwakatia gas ulaya iweje leo wamwekee vikwazo?? Mkuu jaribu kua na vision basi!!
Mkuu sina ubishi kama unavyodai,hv unaweza mtukana mtu anayekuongezea damu hospitalini?? Marekani sio wajinga!! Wamwekee vikwazo wakati wanajua ndo boss wao?? Na sasa hv wako venezuela!! Ku own madeni ya serikali ya marekani sio tatxo mkuu!! Iweje atoe pesa american zen apeleke EU?? Wakati america na EU lao moja kwa Russia??
ujue uchumi wa marekani umeegemea katika kutegemea mfumo wa petrodollar.kwamaana kuwa mafuta yote yanayouzwa duniani,yanauzwa kwa dollar na hii inafanya dollar kuwa inatakiwa sana duniani,kwahiyo inakua na thamani kwani pia biashara karibu zote duniani hufanywa kwa dollar.Unachekesha america could become a third world country?? Labda america ya Tanzania!!!
ujue uchumi wa marekani umeegemea katika kutegemea mfumo wa petrodollar.kwamaana kuwa mafuta yote yanayouzwa duniani,yanauzwa kwa dollar na hii inafanya dollar kuwa inatakiwa sana duniani,kwahiyo inakua na thamani kwani pia biashara karibu zote duniani hufanywa kwa dollar.
Hali hiyo inaipa marekani uhuru mkubwa wa kuchapisha fedha katika kukidhi matumizi yao bila kuhofia fedha yao kuanguka thamani,kwani ni currency ambayo iko in high demand kote duniani.
Kwahiyo marekani wataprint dollar na zitaenda kufanya kazi zao ikiwa ni pamoja na kuhudumia mamia ya makambi yao ya kijeshi yaliyotapakaa duniani kote,kunywesha magari ya kijeshi,ndege,mimeli,kulipa wanajeshi etc.
Tatizo sasa nchi kubwa kama russia,india,brazil,china wakikubaliana kuacha kutumia dollar.
Hapo ndo marekani hatakua na uwezo wa print dollar kiholela tena kwani wakifanya hivyo thamani ya dollar itaanguka.
Kama marekani haprint dollar,hawezi pata pesa ya kuhudumia askari wake walioko sehemu mbalimbali duniani,itabidi arudishe wanajeshi home na hapo ndo mwanzo wa kudondoka.
Wewe unapororojo nyingi sana. Tofautisha bills na loans sawa aisee. Deni lisipolipwa inatosha kabisa kufilisi either nchi, kampuni au hata mtu binafsi it depends hilo deni ni kiasi gani. Kama US anajiamini sana amwekee Mrusi sunctions kama alizomwekea Iran last time.
ujue uchumi wa marekani umeegemea katika kutegemea mfumo wa petrodollar.kwamaana kuwa mafuta yote yanayouzwa duniani,yanauzwa kwa dollar na hii inafanya dollar kuwa inatakiwa sana duniani,kwahiyo inakua na thamani kwani pia biashara karibu zote duniani hufanywa kwa dollar.
Hali hiyo inaipa marekani uhuru mkubwa wa kuchapisha fedha katika kukidhi matumizi yao bila kuhofia fedha yao kuanguka thamani,kwani ni currency ambayo iko in high demand kote duniani.
Kwahiyo marekani wataprint dollar na zitaenda kufanya kazi zao ikiwa ni pamoja na kuhudumia mamia ya makambi yao ya kijeshi yaliyotapakaa duniani kote,kunywesha magari ya kijeshi,ndege,mimeli,kulipa wanajeshi etc.
Tatizo sasa nchi kubwa kama russia,india,brazil,china wakikubaliana kuacha kutumia dollar.
Hapo ndo marekani hatakua na uwezo wa print dollar kiholela tena kwani wakifanya hivyo thamani ya dollar itaanguka.
Kama marekani haprint dollar,hawezi pata pesa ya kuhudumia askari wake walioko sehemu mbalimbali duniani,itabidi arudishe wanajeshi home na hapo ndo mwanzo wa kudondoka.
Povu la nini sasa mkuu??
Mbona elungata anamwaga sera tu?? Tulia upewe ukweli!! CIA sio sawa na TISS! Kwa hiyo hizo economically na visa bans ni danganyatoto?? Au hujui kama kuna viongozi wa karibu na Putin wana visa ban na account zao zilo freased?? Au na lenyewe ni porojo!!!
povu?. Hahaa ww ndie linakutoka mana ushaanza kujichanganya
Ukweli upi sasa..mana anachoandika elungata ni maelezo ya kina kuhusu nilichokuandikia pale mwanzoni. Sasa sikuelew unaposema ngoja nipewe ukweli wakati kiuhalisia wewe ndie unaetakiwa kuzisoma hizo comments vizzuri uelewe. Usitapetape we jamaa, stand firm like a sensible human being na tetea kwa facts unachoandika
china pekeyake ikidump Tresure bond za marekani sokoni,uchumi wa marekani umekwisha.Mkuu nazan unakumbuka kabisa kua america wanafitina za ukweli!! Watauza mafuta waliyonayo watauza nchi nyingne, na kumbuka nchi nyingi sana duniani wanatumia dollar,labda tujipange Africa baadhi ya nchi tuzikatae dollar!! Na ukumbuke china,Brazil,India hata G7 hawamo!! Wala hawamnyimi usingizi CIA!!!!
china pekeyake ikidump Tresure bond za marekani sokoni,uchumi wa marekani umekwisha.
ni kwamba wachina wako kibiashara zaidi.kuna viwanda vingi sana vya china vinasupply marekani.marekani ni soko la kwanza la bidhaa za kichina na pia viwanda vingi vya marekani vime outsource kwenda china.china inanufaika na biashara hiyo kwahiyo hawawezi kudump bond mpaka kwa sababu zinazotishia usalama wa china,mfano kama marekani itaivamia korea ya kaskazini lazima mchina atadump.Sasa kwa nini wasidump hizo tresure bond za america?? Na ukumbuke marekani na china walitunishiana misuli kwenye kisiwa cha cha Japan!!
china alisema atakayerusha denge kwenye kisiwa kile anaichapa!!!
but marekani walirusha B52!!
Si wangetoa hizo tresure bond?? Ili ashuke toka usuper power na kua kama sisi!!!
Russia kidume kweli kweli, jamaa wanapiga keleleeeeee mwenzao yuko kimya wala hajibizani nao hata mara moja. Yuko busy ku strengthen ties zake na Crimea na dominance!!!
Haaaahaaa Russia kidume? Angekuwa kidume angewekewa vikwazo vya visa na vya kibenki? Na sasa wanatishiwa kuongezewa vingine vya kiuchumi.. Kumbuka USA, Umoja wa Ulaya pamoja na idadi zaidi ya nusu wa umoja wa mataifa wamelaani vikali annexation waliofanya. Hana ubabu wakupigana na NATO wala USA.
Mkuu bora uje unisaidie!! Maana kuna watu wabishi Sana!! Russia hawezi pigana na NATO the same time america! Atapotea!! Marekani na nato ndo wababe!! Kama kweli yeye ni kidume awaache NATO na USA waingie Kiev aone moto wake!! Mbona hajiwahi ilihali yeye kidume?? Hawa jamaa wako advanced sana kwenye Tech!!!![
Russia is going to be international isolated, sasa marafiki zake china, North Korea will be able to defeat the whole world? Nato ni alliance ya european countries, then ujumlishe USA, eti ni dume atawaweza? Kuna nchi inazidi USA technology kwenye jeshi?