Extraterrestrial
JF-Expert Member
- Aug 23, 2013
- 413
- 265
china anamdai US.
Marekani kutoishikisha adabu n.korea sio kwamba anaiogopa na kutoiadabisha russia ni vilevile pia, obama anaremba mno, ngoja tuchukue kiti wanarepublican na ishara ishaonekana ktk uchaguz wa senate
Angalizo langu ni hivi... when arguing about USA, NATO & Russian tuweke nafasi ya kua haya ni maoni yetu tu vile tunavyodhania sisi lakin tubaki tukikubaliana kua Moscow na Washngton wana mipango yao zaid ya vile tujuavyo na kwamba yako mengi tusiyoyajua... Third world war might look imminent but siyo rahisi kihivyo..unaongelea kuisambaratisha dunia na kizazi chake... each state is adamant to be the cause...
Last week uliona North Korea launched Submarine Balistic missile?The launch was very successful na huyo US hakuwahi hata kuwaza North Korea inaweza kufanya hivyo.
Endelea kulala na kuota!!
hata mimi nampenda Putin.
endapo ikitokea vita kuna nchi za ulaya zitafutwa kabisa hapa duniani, na kama zisipifutwa huo umasikini wake utakuwa balaa.
endelea kuota.
Kama ndoto zako za kuota huku unaongea, eti nchi za ulaya zitafutika, ndoto za mchana hizo
Ndugu yangu ufaransa na UK ni moja ya nchi za ulaya lakini siyo nchi za kuchezewa wamekaa vizuri sana.. Wakiungana wawili tu hao urusi haiwezi kufanya kitu
Ni Upuuzi kuamini kuwa Pyongyang inaweza kuichapa marekani ama kuleta upinzani mkali. Ni kama unataka kuamini kuwa ICMB zipo kwa NK tu. NAsema ni Upuuzi. NK bado wako kwenye manual weapons wakati US wamekwenda mbele kwenye Cyber weapons. Hawa NK hawana uwezo dhidi ya US. US yuko vitani miaka yote. hata sasa wako vitani dhidi ya Islamic States. MWanajeshi aliyepigana vita vingi ni mzoefu zaidi kuliko yule aliyepigana vita chache.Last week uliona North Korea launched Submarine Balistic missile?The launch was very successful na huyo US hakuwahi hata kuwaza North Korea inaweza kufanya hivyo.
Endelea kulala na kuota!!
hadithi hadithi.. madeni hayo yanahusianaje. Weka uhusiano wa hayo madeni na Vita tunayojadili.Na anamdai trillion of $ siyo billion,kila ulichoandika on ur original reply ni pumba tu.Poor and irrational comments.
China owned an estimated $1.263 trillion in U.S. Treasuries, is the number-one investor among foreign governments, according to the April 2014 figures released by the U.S. Treasury. This amounts to over 21% of the U.S. debt held overseas and about 7.2% of the United States' total debt load.
How Much U.S. Debt Does China Own? - Bonds.
Bado sijaweka figures Za Alibaba which went public sept and was listed in Newyork Stock Exchange and its growth now is unstoppable.
NApata Picha jinsi gani, Russia walivyo na hofu kubwa sana dhidi ya marekani na washirika wake.US inaweza kuwashambulia kwa ghafla na hawana sapoti ya maana kule Asia.
Wakati mwingine Ukubwa wa Pua sio wingi wa makamasi: hoja hiii nai-apply kwa Russia. Ni kama mwezi umepita Waziri wa Russia alimwambia Bw. Putin kuwa Nchi yake haiwezi kumudu gharama alizopanga kuunda Vessels zenye viwanja vya ndege, ambapo kitakwimu inadaiwa wanayo moja tu wakati US inazo takriban 13. Plani ya Putin ilikuwa ifikapo 2006 waweze kuwa nazo za kutosha, Lakini UChumi hauruhusu.
Hili Putin analijua fika.
Kurusharusha ndege hovyo wakati mwingine ni ku-create hofu kwa Adui ili kuondoa uwezekano wa kushambuliwa
RUssia kiukweli imechoka sana.. anachofanya ni mikwara Mbuzi.
Western wanachofanya ni kueneza uongo wa kuonyesha kuihofia Russia lakini wakiwa wanampango wa kuibomoa.
Ikiwa RUssia haiogopi ulaya, siamini kuwa Ulaya na MArekani zinaiogopa RUssia vilevile. Tena Russia yuko peke yake katika hili. Ni upuuzi kuamini kuwa US inaogopa Russia. Wanachofanya ni kitu wanaita calculated Risk. Lakini uncertainty ipo vilevile.
NA vikianza vita Russia inaweza kuteketea kabla haijajipanga sawa sawa. Russia wanachofanya sasa ni kutengeneza Image kuwa wako fiti, ili west wasifikirie kuthubutu.
Na ni imani yangu China hawezi kuisapoti Russia kama itatokea Vita. KWani China ina deni kubwa la pesa kwa US.Na kama mchumi China ingependa deni lirudi.
Russia wako pathetic na hali ilivyo kwani ubabe wao unazeeka vibaya, na China inaonekana ku-take position taratibu. Na hili kwao ni aibu ambayo hawataki kui-face.
Pia nauchukulia ugomvi wa Russia na US unaletwa na Jasusi wa zamani Rais Putin, probable akiingia rais mwingine Wa Russia sera za Russia zinaweza kubadilika. Hali ni tofauti kwa sera za marekani ambazo hazi-change kutokana na mabadiliko ya uongozi.
Dunia ya Leo huwezi pigana vita kama huna hela.
NA wakopaji wanamkopesha yule waayemwona anauhakika wa kulipa faida kubwa. Russia kwa hili bado ni loser.
Russia kama ilivyo China amezungukwa na maadui kila kona.
Kijiographia pia Russia imezungukwa na maadui zaidi kuliko marafiki. mmoja wapo ni Japan, CHina ambo wana mgogoro wa mpaka. Na wangetaka kurudisha maeneo yao ya Zamani. Mtandao wa RUssia unahusisha vinchi vichanga na maskini, wakati mtandao wa US una nchi zenye nguvu kiuchumi na kitechnolojia.
Utakuta ndege alizorusha Russiandio Mwisho wa Sanduku. Yaani hana jipya tena.
Kitu nikionacho mm USA hana uhakika na nguvu aliyonayo no. Korea pia akitake action hajui reaction ya support atakayopata n. Korea toka kwa mshirika wake mkuu ChinaMarekani kutoishikisha adabu n.korea sio kwamba anaiogopa na kutoiadabisha russia ni vilevile pia, obama anaremba mno, ngoja tuchukue kiti wanarepublican na ishara ishaonekana ktk uchaguz wa senate
Angalizo langu ni hivi... when arguing about USA, NATO & Russian tuweke nafasi ya kua haya ni maoni yetu tu vile tunavyodhania sisi lakin tubaki tukikubaliana kua Moscow na Washngton wana mipango yao zaid ya vile tujuavyo na kwamba yako mengi tusiyoyajua... Third world war might look imminent but siyo rahisi kihivyo..unaongelea kuisambaratisha dunia na kizazi chake... each state is adamant to be the cause...
yes hoja yako ina make senseKitu nikionacho mm USA hana uhakika na nguvu aliyonayo no. Korea pia akitake action hajui reaction ya support atakayopata n. Korea toka kwa mshirika wake mkuu China
Ni kweli mkuu, tena sio hapo tu, zipo sehemu nyingi tu ambapo US wamewahi kushindwa.Kumbukumbu zinaonyesha USA na ubabe wake walishindwa kuisambaratisha Vietnam
Hahahaha ..you have twisted the meaning. Anyway, Ukweli nikwamba Russia ana nguvu na vifaa vya kisasa vya kivita ikiwemo Ndege na Vifaruto mention in few, Lakini hazidi NATO na washirika wake. Hata hivyo Russia ana ushawisho mdogo Dunianiukilinganisha na USA na Washirika wake. Nikijibu swali lako, ni kwambahaitatokea nchi yoyote katika bara laUlaya Ifutike kwenye Uso wa Dunia simply because of Russia fighting war withWestern. Kwa uzoefu wangu mdogo, hawa jamaa (western) chini ya umoja wao, wako makini mnokuliko tunavyoweza kufikiri kinadharia. Mkuu, endapo ikitokea vita kati yaRUSSIA (East) Vs. WESTERN countries, hii itakuwa ni WWIII
NApata Picha jinsi gani, Russia walivyo na hofu kubwa sana dhidi ya marekani na washirika wake.US inaweza kuwashambulia kwa ghafla na hawana sapoti ya maana kule Asia.
Wakati mwingine Ukubwa wa Pua sio wingi wa makamasi: hoja hiii nai-apply kwa Russia. Ni kama mwezi umepita Waziri wa Russia alimwambia Bw. Putin kuwa Nchi yake haiwezi kumudu gharama alizopanga kuunda Vessels zenye viwanja vya ndege, ambapo kitakwimu inadaiwa wanayo moja tu wakati US inazo takriban 13. Plani ya Putin ilikuwa ifikapo 2006 waweze kuwa nazo za kutosha, Lakini UChumi hauruhusu.
Hili Putin analijua fika.
Kurusharusha ndege hovyo wakati mwingine ni ku-create hofu kwa Adui ili kuondoa uwezekano wa kushambuliwa
RUssia kiukweli imechoka sana.. anachofanya ni mikwara Mbuzi.
Western wanachofanya ni kueneza uongo wa kuonyesha kuihofia Russia lakini wakiwa wanampango wa kuibomoa.
Ikiwa RUssia haiogopi ulaya, siamini kuwa Ulaya na MArekani zinaiogopa RUssia vilevile. Tena Russia yuko peke yake katika hili. Ni upuuzi kuamini kuwa US inaogopa Russia. Wanachofanya ni kitu wanaita calculated Risk. Lakini uncertainty ipo vilevile.
NA vikianza vita Russia inaweza kuteketea kabla haijajipanga sawa sawa. Russia wanachofanya sasa ni kutengeneza Image kuwa wako fiti, ili west wasifikirie kuthubutu.
Na ni imani yangu China hawezi kuisapoti Russia kama itatokea Vita. KWani China ina deni kubwa la pesa kwa US.Na kama mchumi China ingependa deni lirudi.
Russia wako pathetic na hali ilivyo kwani ubabe wao unazeeka vibaya, na China inaonekana ku-take position taratibu. Na hili kwao ni aibu ambayo hawataki kui-face.
Pia nauchukulia ugomvi wa Russia na US unaletwa na Jasusi wa zamani Rais Putin, probable akiingia rais mwingine Wa Russia sera za Russia zinaweza kubadilika. Hali ni tofauti kwa sera za marekani ambazo hazi-change kutokana na mabadiliko ya uongozi.
Dunia ya Leo huwezi pigana vita kama huna hela.
NA wakopaji wanamkopesha yule waayemwona anauhakika wa kulipa faida kubwa. Russia kwa hili bado ni loser.
Russia kama ilivyo China amezungukwa na maadui kila kona.
Kijiographia pia Russia imezungukwa na maadui zaidi kuliko marafiki. mmoja wapo ni Japan, CHina ambo wana mgogoro wa mpaka. Na wangetaka kurudisha maeneo yao ya Zamani. Mtandao wa RUssia unahusisha vinchi vichanga na maskini, wakati mtandao wa US una nchi zenye nguvu kiuchumi na kitechnolojia.
Utakuta ndege alizorusha Russiandio Mwisho wa Sanduku. Yaani hana jipya tena.
vp kuhusu Ushindi mkubwa walioupata NATO dhidi ya Rafiki wa Russia -- Yugoslavia ya Slobodan Milosevic walipoenda kuwasaidia waislamu wa Albania.? Huku Russia wakitazama rafiki yao akiadabishwa bila kupeleka pua.It will be Nuclear War and please note recent wars that NATO (USA) had winned? None since Vietnam. They are just creating failed states by destroying the basic way of life of those countries from Afghanistan, Iraq, and Libya.
hadithi hadithi.. madeni hayo yanahusianaje. Weka uhusiano wa hayo madeni na Vita tunayojadili.