NATO: Jeshi la Urusi bado liko imara

Ukiona mtu mzima anaanza kurusha matusi na kelele nyingi wakati mjadala bado unaendelea kistaarabu ujue tayari ameshafilisika kimawazo- Hana point tena; yaani amefikia pale wanaita End of Thinking Capacity au kwa kifupi wanaandikaga "etc".
Kwa hiyo kuniita mropokaji ndo mjadala na hoja sio?

Usinitolee povu mm nimeleta habari kwa kumnukuu kamanda mkuu wa NATO na ushahidi nimeweka kwa kuweka screen shot ya habari kutoka BBC, sasa yeye anapo kuja na kusema ni propaganda unataka nimueleweje?
 
OK. Mkuu, unaonaje kumwita mwenzio ni Shoga? Hili neno Shoga ndo linachefua na linagusa mno ndani ya faragha ya mtu binafsi.
Mbona kwangu mm umeongea vizuri tu wala sina cha kukulaumu kwani ni kweli nimetoa povu na hilo sio tusi.
Propaganda ni utoaji wa habari zisizothibitika zenye lengo la kuwagilibu na kuwapotosha watu ili waamini kitu tofauti na uhalisia/ukweli ulivyo -hilo sio tusi. e.g. Wanasiasa wote ni propagandists.
Mropokaji au Kuropoka ni kile kitendo cha kutoa habari bila kuichuja au kuiedit (Uncensored report) na hivyo inakuwa na maswali mengi na wakati mwingine usipokuwa mwangalifu inaweza kukutia matatani. Hilo nalo pia sio tusi japokuwa haipendezi kwa mtu mzima kuambiwa ameropoka.
Samahani lakini ninaweza kuwa nimekukwaza zaidi.
 
Hii sio propaganda ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Kwan WANATO wanaonges ukwel siku hz ?

Sent from my HUAWEI NXT-L29 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…