Mkuu hiyo hoja ya msingi sana.
Tukianzia Vision 2025 Hii ni vision ya CCM kwa sababu wengine nje ya CCM hawakushirikisahwa. Besides iliokuwa externaly driven.
Baada ya hapo sera nyingi sana zilitungwa tena kwa matakwa ya CCM bila ushiriki wa wadau.
Usiulize mrejesho wa jitihada za sera za serikali zilipofikia kwa sababu wahusika wengi hawapo au wamekuwa rendered irrelevant.
Nimetanguliza hoja ya hapo juu kwa sababu ndiyo inaasisi Master plan.
Mchango wangu kwenye hoja hii ni kuwa tuwe wapole tumeyataka wenyewe. Tusubiri huu uitawala wa kimbumbumbu utakapoamua kutupa fursa ya kutoa michango yetu serikali itakapokuwepo.