National Institute of Transport (NIT) -Special Thread

mkuu Nit washaanza usajili? na je wanafungua tarehe ngapi?
 
Hello guys
 
hakuna chuo kibovu kama NIT chuo kipo loko sana utazani ni centre ya tuition za mchikichini.
 
mazingira ya chuo sio mazurii pili ni usumbufu watendaji wa pale wanajiskia kinoma hasa yule dada wanamuita sijui Emakulata dada msenge sana.
Hilo sikupendi kaka nikwel kbsa sijui hata kwnn wanakuwa na maringo vile then chuo cha taifa alafu kinafnya mambo Hayo hata mm kuna mda nimeongea simu administrator office kapokea mmama bas anaongea kwa kujisikia then kwa hasira kma nimemchukulia mtoto wake wa kike😊😈😈😈😈
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…