Download hapa http://nit.ac.tz/index.php/prospectus?download=47:prospectus-new-2017-2018wakuu mimi shida yangu nahitaji kujua katika course ya IT kwa kila semister tutasoma vitu gani kuanzia first year had last year kwenye tovuti yao sijaona
shukurani
welcomeTunashukuru uwepo wako pia tunaamin wako wengi wa aina kama wewe; so we can share experience
UDOM FIRST YEAR 2018/19 WHATSAPP GROUP:
Kama umechaguliwa Kujiunga na masomo katika chuo kikuu cha Dodoma (UDOM) bofya link hapo chini tukutane pamoja ili tuweze kusaidiana Mambo mbalimbali muhimu unayotakiwa kuyajua wakati unaenda kuripoti UDOM.
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]
UDOM FIRST YEAR
Saidia kusambaza Link ili kuwafikia walengwa.
Kwa kawaida chuo huwa kinaanza tareh ngap usajil wa wanafunz 1st year??STUDENTS ACADEMIC YEAR 2018/2019
Naomba kuwapongeza wale wanafunzi wote mliochaguliwa kujiunga na chuo cha Taifa cha usafirishaji NIT.
Natumia fulsa hii kuwakaribisha chuoni; pia kwa ambao hamfahamu location ya chuo kiko Dar Es Salaam-Mabibo
Mwisho kabisa chuo kitakapo anza usajiri rasmi tutaendelea kuwapa Updates
Kama wewe ni mgeni au kuna kitu kinakutatiza usisite kuuliza hapa wadau tupo tutakusaidia.
Nawasilisha!
Kwa kawaida chuo huwa kinaanza tareh ngap usajil wa wanafunz 1st year??
Halaf wanafunz inatakiwa alipe angalau asilimia ngap ya fee kabla hajariport chuo??
Halafu ile joinning Instructional sijaelewa kuwa ni print nijaze then siku ya Ku_report nende Nayo au ??
Nakuonaga kwenye Uzi wa forex.mkuu kwa vile huu ni uzi wa NIT ungekuja na group lake ingependeza zaidi any way sio mbaya lakini