National IDs to be used as travel document by 2013

National IDs to be used as travel document by 2013

Siyo kila kitu lazima uingie kichwa kichwa, sioni tatizo la Tanzania kuvutia punzi hili suala, hata hawa Kenya, Uganda na Rwanda japo wanasema utaratibu huu utaanza kutumika mnamo January 2014 lakini kuna mambo hambayo bado hawajakubaliana, kama vile dola 100 atazolipa mtalii kwenye nchi atakayoigilia, na akienda kwenye nchi nyingine husika mgawanyo utakuwaje.
Changamoto nyingine, Uganda hawana vitambulisho vya Taifa, wanasema watatumia vile vya kuigia kura, je, wangapi wanavyo?
Nothing is perfect,sheria & bills nyingi zinaanza hivyo na zinakuwa fixed as the time goes..just a WIP as everything else..
 
Nothing is perfect,sheria & bills nyingi zinaanza hivyo na zinakuwa fixed as the time goes..just a WIP as everything else..

Hivi vichwa 3 vyote bange tupu, na vikikaa pamoja vitafanya mambo ya kibange bange.
Naona juzi Kagame na M7 walimtuma Kenyata akatest upepo huko DRC.
 
Don't make it a big deal boy,nina uhakika hata wewe hupendi story za documentation ukifanya vitu vyako maana ni unnecessary waste of time & money na mwanzo wa rushwa nyingi,kama TZ hawajaona benefit ya hii kitu is fine na hakuna mtu atalazimisha,and seems wewe ndio your are missing sio wao ndio maana huachi kupiga domo huku wenzako wanafanya mambo yao bila hata kukuliza,na bila aibu eti "haiwezi kudumu".....such a loser!!

Tumeona hata European Union UK wanachomoka taratibu sembese hao watuhumiwa wa The Hague
 
Siku zote Tanzania walikuwa kind of slow kwenye maswala ya muungano lakini mimi sioni kama kuna tatizo kwa kuwa wanatoa sababu za msingi kuto kwenda kasi. Nadhani waache wengine watangulie alafu baadaye wakiona system inawafaa watajiunga pia. Mfano mzuri ni U.K kwenye European Union. Wanafaida zote za EU bila kuwa kwenye muungano.
Slow and sure wins the race

Mkuu haya unayosema umefanyia utafiti au umekurupuka tu. EU ilianzishwa rasmi mwaka 1957 na nchi sita. UK ilishindwa kujiunga kutokana na mambo ya kisiasa tu hasahasa kikubwa ni Pound (£). Na hii yote ilisababishwa na chama cha Conservative. Labour walipoingia madarakani ndiyo wakachochea kwa UK kujiunga na EU. UK ni member wa European Union (EU) tangu mwaka 1979 ila bado hajakubali kutumia Euro kama member wengine sababu tu ya sababu za kisiasa. Na EU haikuanzisha kisiasa azimio lake kubwa ni UCHUMI. So don't confuse yourself with EU membership na euro as currency ni viwili tofauti.
 
Don't make it a big deal boy,nina uhakika hata wewe hupendi story za documentation ukifanya vitu vyako maana ni unnecessary waste of time & money na mwanzo wa rushwa nyingi,kama TZ hawajaona benefit ya hii kitu is fine na hakuna mtu atalazimisha,and seems wewe ndio your are missing sio wao ndio maana huachi kupiga domo huku wenzako wanafanya mambo yao bila hata kukuliza,na bila aibu eti "haiwezi kudumu".....such a loser!!

Am not a boy, I am a man.Kagame is a boy
 
Kajaribu ku-invest Kenya uone. Au kununua ardhi.
Kajaribu kumiliki ardhi Rwanda.

Bila free movement bado tunaona hasara za hawa majirani, sembuse wakipewa penzi? Itakuwa balaa ambayo sidhani kama tupo tayari kuikabili.

Wawe majirani zetu tu, inatosha.

Mzee hilo unaloliona gumu "ku-invest Kenya" sasa wenzako ndiyo wanalolilainisha kwa muundo wao. Pili biasahara siyo kununua ardhi tu, kuna uchuuzi wa bidhaa kama vile zabibu, maziwa, nyama na vingine vingi kuna options nyingi tu kwa watanzania kama wangekuwa na fursa hiyo. Biasahara siyo lazima umiliki ardhi wewe hili la ardhi ndiyo emeona biasahara peke yake. Najua unajua zaidi ya hapa ila uvivu tu na uwoga wa kupambana na maisha pia na kuridhika na vitu vidogo vidogo, tanua mawazo kuwa na ndoto kubwa kubwa zaidi utaona opportunity nyingi tu kama tukipewa nfasi hiyo na viongozi wetu. Mzee mbona unakuwa uko hasi sana kwenye kuwaza kama wewe unaona hautafaidika kuna watu tunaona still kuna opportunities kama tungezawadiwa nafasi hiyo na viongozi. Kwenye biashara lazima uwe jasili wa ku-stretch your limits to express your power and fulfil your potential. Hizi kauli za kinyonge " wawe majirani zetu tu , inatosha" then what. Anyway sisi binadamu tumepewa uwezo na vipawa tofauti sana keep the same spirit brother and GOOD LUCK.
 
Tumeona hata European Union UK wanachomoka taratibu sembese hao watuhumiwa wa The Hague
huna idea na unachoandika wewe,FYI UK hajabadilisha chochote in his membership and still a member na EU wameongeza members tangu ianze sio kupunguza
 
Mkuu haya unayosema umefanyia utafiti au umekurupuka tu. EU ilianzishwa rasmi mwaka 1957 na nchi sita. UK ilishindwa kujiunga kutokana na mambo ya kisiasa tu hasahasa kikubwa ni Pound (£). Na hii yote ilisababishwa na chama cha Conservative. Labour walipoingia madarakani ndiyo wakachochea kwa UK kujiunga na EU. UK ni member wa European Union (EU) tangu mwaka 1979 ila bado hajakubali kutumia Euro kama member wengine sababu tu ya sababu za kisiasa. Na EU haikuanzisha kisiasa azimio lake kubwa ni UCHUMI. So don't confuse yourself with EU membership na euro as currency ni viwili tofauti.

Sijui nikueleze vipi in a simpler layman's language kwa sababu nimetumia the simplest possible. UK ni member wa EU, hivyo wana faida zote za EU. Ukipata Shengen visa ya kwenda EU countries utaenda nchi zote bila kuhitaji visa, ila kuingia UK utahitaji visa ya UK. Therefore kwenye muungano wao - whatever the muungano is - wana faida za muungano bila kuwa na bugudha za free movement of people, hela nk. Kwa mfano huu, and in the same context, nime suggest Tanzania inaweza kuwa kwenye EAC bila kujiunga na maamuzi ya Kenya, Uganda na Rwanda wasio kubaliana nayo na ambayo hayafai Tanzania kwa sasa. Look before you leap!
 
Are we members of this EAC coz I don't think we are otherwise we are in great danger.
 
Sijui nikueleze vipi in a simpler layman's language kwa sababu nimetumia the simplest possible. UK ni member wa EU, hivyo wana faida zote za EU. Ukipata Shengen visa ya kwenda EU countries utaenda nchi zote bila kuhitaji visa, ila kuingia UK utahitaji visa ya UK. Therefore kwenye muungano wao - whatever the muungano is - wana faida za muungano bila kuwa na bugudha za free movement of people, hela nk. Kwa mfano huu, and in the same context, nime suggest Tanzania inaweza kuwa kwenye EAC bila kujiunga na maamuzi ya Kenya, Uganda na Rwanda wasio kubaliana nayo na ambayo hayafai Tanzania kwa sasa. Look before you leap!

Mzee wewe ndiye naona unayelikoroga hapa sasa. Reply yangu ya kwanza kwako ilikuwa inajaribu kukuonyesha yale uliyosema siyo ya kweli kuwa " Mfano mzuri ni U.K kwenye European Union. Wanafaida zote za EU bila kuwa kwenye muungano . " UK ni member wa EU na member wote wanafaida sawa katika muungano huo ila UK ameamua kuzuia baadhi ya haki zake kama sarafu na visa kwa wale wageni ambao hawatoki kwenye muungano huo na hii yote ni kutokana na mawazo tofauti yaliyokuwa kisiasa zaidi mbali na dhumuni kuu la muungano ambalo ni uchumi.

Elewe kwamba mtu mwenye uraia wa nchi za EU anaingia UK bila visa (kwa kitambulisho tu cha EU) na anapata haki zote msingi kama anazopata raia mzaliwa wa hapo UK. Na ni vivyo hivyo kwa raia wa UK akienda kwenye nchi za EU zinazotumia Euro. Kwa hili naona nimemaliza na utanielewa.

Hapa sasa ndipo unapolikoroga ,Free movement kwa kutumia ID ninayoongelea mimi ni kwa wazawa wa nchi zilizopo kwenye muungano Rwanda, Uganda na Kenya. Usichanganye na kipengele cha single entry visa kwa wageni wanaokuja kutembelea nchi hizo. Ambapo Tanzania anaweza akajiingiza kuturahisishia hiyo free movement kwa ID na maswala mengine ila asikubali swala la VISA as a single entry kwa wageni wanaotoka nje ya nchi husika zilizopo kwenye muungano. Pili, EAC ni tofauti kabisa na muungano huu ndugu yangu. Kama tungeingia kwenye muungano huu na kureserve some of our rights kama not involve on single entry visa kwa wageni wanaotoka kwenye tofauti na nchi husika kwenye muungano huu ingekuwa poa pia. Everything is possible in negotiation na viongozi waangalie maslahi ya watu wake na maendeleo mazima ya nchi na siyo kukaa kupiga domo tu bila vision na viable strategies. I rest my case now, if you don't get this then there is no need to discuss this matter.
 
Back
Top Bottom