Dominus Vobiscum
JF-Expert Member
- Jan 12, 2015
- 432
- 504
Nimekuwa nafuatilia kwa muda mrefu kiasi, namna wenzetu Wakenya wanavyofanya kwenye mambo ya elimu hasa linapokuja swala la Matokeo ya Mitihani Primary and Secondary school.
Matokeo yanapotoka huwa ni kama Sherehe fulani ya Kitaifa. Waziri mwenye dhamana anampelekea Rais muhtasari, then kuna kuwa na mkusanyiko wa Wakuu wa idara na taasisi zote zinazohusika na Elimu.
Hapo inakuwa tafrija. Na wale top scorers wanatambuliwa na kupewa special coverage,hali inayoinua mori kwa wanafunzi.
Na pia wanapewa offer kusomeshwa kwenye prestigious Universities
Swali langu linakuja, hasa kwetu hapa, Kwanini kusianzishwe utaratibu kama huu ambao kwa mtazamo wangu ni chachu mojawapo kuinua ufaulu?
Nakumbuka muongo uliopita, niliwahi kutandika A's za kumwaga nikitokea Tabora Boys, well, niliishia kushikwa mkono na Waziri Dr. Pius Ng'wandu, (si haba) na kupewa Scholarship huko Algeria , (Bachelor degree miaka 6 => French language course 1 yr,General science 2yrs, B.Sc Telecom. 3yrs ) ambayo niliipiga chini!