Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Wewe utakuwa jobless....watu wa aina yako huwa mnahangaika na vitu vidogo vidogo ambavyo havina mantiki! Kama yupo busy na wewe kuwa busy, kwani ukianza wewe kumsalimia kuna ubaya gani?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
maybe we mwenyewe hauko romantic,umejaa ujuaji,kiburi na upuuzi mwingine kama huo.
 
If you can't seek your own freedom then be a slave till you are capable to do it.
 
natamani kukupa ushauri, lkn km huna kifua utanichukia bure.

Sent From Ikulu-Magogoni street
 
Huyu mdada yuko kimapenzi zaidi (check thread zake utagundua) so hata mmshauri vipi, HATASIKIA COZ ANAONEKANA KASHABANJULIWA SANA NA KUACHWA MATAA YA UBUNGO TAKRIBAN KILA MWEZI.
 
Kupendwa hupendwi
unajua wazi ila bado huridhii
Maana kesho utaurubuni moyo
Unapendwa ila una pimwa
Una meno ila wajiona kibogoyo
Kweli penzi donda ndugu

Ila we uachani naye
Na ushindani naye
Maana yuko moyoni


Kasikilize wimbo wa baraka kwakweli unakuhusu au ukimuona wa diamond
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…