Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Kuna uzi unafanana na huu jamaa alicomment 'bachelor of business in sales & marketing'
 
Inaitwa funua kata funika,Hamna kitu hapo. Na kama Ndio alimletea nyodo mpaka akakupata,since when he fuc.k her that's the end of the story. no love,no more.
hahaha siku wanajifariji na msemo wao " Si kila uhusiano lazima uishie kwenye ndoa" tena bila shaka huu msemo umeletwa na wanaume kuwatia ujinga dada zetu, ukweli ni kuwa si kila mwanaume unaekuwa nae ktk mahusiano ni lazima auchezee utupu wako,wadada wajifunze kusema hapana.
 
Wachache sana watakuelewa kwa hili uliloliandika..hiyo kitu inaitwa LAW OF ATTRACTION
 
Sio tu hapana,maana mwingine unamuona this person deserve me. Akizingua basi move on na sio kulia lia ovyo wadada
 
Au labda wewe ni wakawaida sana kwahyo jamaa kukupenda umeona zali akikuacha hutatongozwa tena

Sent from My GooglePixel using JamiiForums mobile app
 
Aiseee nshasahau hizi shida ndogondogo....mamii kuwa single kwa muda flan kwanza...
Vibaya hivyo,kumbe ndo maana hutaki kunijibu pm zangu [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…