lusekelo ephraim
JF-Expert Member
- Jan 22, 2014
- 306
- 234
Njoo kwangu hutojutiaMoyo nataman hata niubadilishe na moyo wa kuku
Ninampenz simuelew jmn Mimi moyo wangu unauma sana....anaweza amka asubuh hata msg ya umeamkaje hamna... Atakaa siku nzima hata cm hamna mpaka Mimi nianze kumsalimia
Nikimuuliza kulikon anadai yupo busy anakazi nyingi
Jmn uko busy hata cm haushiki inamaana hauli? hauend choon
Wapenz jamaa nampenda sana nataman kujitoa kwake lkn najaribu akinipigia tu cm maamuz yanayeyuka
Kwel ananinyanyasa kihisia sana bad enough yeye hajal
Naona umempendelea Nokia kumuonyesha msambwandaOK
Sipend nijulikane ila ww inabidi tu nikutumie picha tangu tu unifaham maana leo Mara ya 3 unanituhum hiki kitu..na kupm picha yangu
ChaaaOK

Elewa tu hakupend au ana mtu mwingine...let it goNa
Najitahidi sana ananivunja moyo hanisapot mpaka nakata tamaa
Anafanya kazi gani? Kama ni kazi za kihandisi usimlaumu hata akimaliza siku 5 bila kukutafuta. Tatizo mabinti wa kileo mnajua kumiliki simu ni mwanzo wa kuwasiliana kila baada ya nusu saaNa
Najitahidi sana ananivunja moyo hanisapot mpaka nakata tamaa
Kasema chura anae tena yule mkubwaJamani msimbebeshe mzigo dada wa watu mara awe mbunifu mara hana chura mara sijui nini lol. Mwanaume akishakua na option zaidi ya moja ndivyo ilivyo na mbaya zaidi option B ikawa imemkuna moyo wake hata abinuke sarakasi yy atabaki kuwa kipoozeo tuu. Na mbaya zaidi ameshajua unamzimikia best utaula wa chuya. Hivi mbona wadada wengine mnapenda kuteseka mioyo? Ukishaona dalili kama hyo sepa mapema ww kabla hajasepa yy usipate maumivu makubwa. Najua unajiuliza utampata wapi mwingine but yupo ambaye atakupenda mpk utaona tena kero hizo simu sijui msg n.k kwa sbb atakua ni wako huyo ulienae kwa sasa sio wako achana na kujistress.
Ile interview ilikufanya usijipampule kwakweli. [emoji85] [emoji85] [emoji85]Unamuhitaji zaidi ya anavyokuhitaji.
Tafuta ambaye kidogo mtahitajiana japo kwa kukaribiana.
Unamaanisha ang'atuke au siyo!!!!Unamuhitaji zaidi ya anavyokuhitaji.
Tafuta ambaye kidogo mtahitajiana japo kwa kukaribiana.