Nateseka jamani mimi Sijui nimekosea wapi

Saikolojia ya mwanadam haijawahi kubadilikaa,
Mwanadam huwa anathamin sana vitu ambavyo hana, na husahau kabisa vitu alivyonavyo au kwa lugha nyingine havithamin.

Tuje kwenye mada, tatzo lako kubwa, ulishampa uhakika kuwa upo pale kwa ajil yake na umeshafunga jalada la uchaguz katika mapenz, hiko kitu kina faida na hasara zake.

moja ya hasara ya jambo hilo, ni kwamba mwanaume anakuwa anachukulia tayari ameshakuteka, kwahyo haoni sababu ya kuhangaika kuku impress, unakuta anahangaika na wanawake wengine ambao hta umewazid uzur na kila kitu.

Chakufanya, husionyeshe kama umefiiika kwake, yan anza ku act expensive, sio kila mda anaokuhitaj we unapatikana, sio kila akipiga sim we unapokea... unaipotezea sim hlf baaadae ndo unamchek, na samahan kibao, ukiwa unachat nae, we ndo uwe wakwanza kuaga...

Fanya hayo aisee.... na mahusiano yako yatazaliwa upya.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Embu kesho njoo kimbiji huku tuwaulize wazee nini tatizo usilie tumekufikia wazee watamleta karibu na wewe badala ya msg atakua anaamka na kulala kuoga na kula na wewe njoo tumshtakie kwa wazee hapa Jf ni ushauri tu ya maneno watakupa karibu mjukulu wangu mayimasa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Bonge moja la ushauri

Ushauri wa karne huu aiseee

Sent using Jamii Forums mobile app
 
OK
Ungekuwa na bunyanga angekuwa analiwaza asbh akiamka na mchana kabla hajala anakuuliza baby umekula


Leo umevaa ile kufuli nayopendaga...achia bodi hili maimatha
Sipend nijulikane ila ww inabidi tu nikutumie picha tangu tu unifaham maana leo Mara ya 3 unanituhum hiki kitu..na kupm picha yangu
 
Nawe kama kimya. Kama kweli anakupenda atakutafuta hadi kwako kuja kuuliza KULIKONI. Ukiona kimya kirefu ujue hana mapenzi nawe.

 
Ulimfungulia kufuli (kama mnatumia siku hizi) kabla ya ndoa. Uliyataka mwenyewe.
 
Kesi yako inafanana na Dada mmoja ambae nimewahi msaidia kwa ushauri (binadamu sie wazuri kushauri ila kwetu nyumba inaungua moto)
Naye alikua hivyo mpaka atafutwe yeye na mbaya bora wewe anakujibu yeye alikua message 5 inajibiwa 1 na ndio siku imeisha but nilipomshauri hivi
Wiki 2 za mwanzo onesha ukaribu mpigie simu, asubuhi mchana na usiku kama dozi tuma message tu usichoke hata akipiga kimya. Muoneshe hujaumia yeye kukaa kimya... Ila sasa siku 14 (2 weeks) zikiisha tu
Mpotezee tena ikiwezekana futa namba yake ili isikuwashe kuitafuta, futa messages zote then usijaribu hata kumtafuta au kumuulizia for 2 weeks.. Kwa kua alizoea messages akiamka na hadi anaingia kitandani basi kama anakupenda ataona gape katika maisha yake.
Hata akianza kikutafuta usiwe cheap, kua genuine na onesha una dhamani pia potezea simu kabisa hadi aje face to face...usioneshe we ndo unamuhitaji saaana, onesha kua you can survive without his presence in your life, akijishusha atakua amejua makosa yake ila vice versa basi jifunge mkanda hapo hakuna future
Bora uukubali ukweli mapema kuliko kuishi kwa uongo utakaoweza kukuua siku za usoni

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hilo tunaita ni Penzi la upande mmoja.

Ukweli ni kwamba yeye hana Mapenzi na wewe
 
Sio watu wote wapenda mapenzi kama ya bluetooth connection kila muda mtu simu, txt utake, calls utake, mtachokana haraka, hizo kero za kila muda simu simu simu mi mwenyewe havipandi. Pole lakini
 
Hapo kuna mambo mawili makubwa . 1 kunamtu mwingine anaemuweka bize nae anahangaika huko kutuma SMS na ku care. 2. Hizo ni dalili Za kukupotezea maana akiona SMS zako anaweza kuwaambia hata washkaji zake kua aaah!huyu dem msumbufu sana! Kuwa makini tu jipe muda wakumchunguza pale mnapokua pamoja utagundua jambo.
 
Ushauri murua huu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatzo una mapenzi ya secondary
 
Shida inakuja pale unaposubiria simu huku roho inauma.... Ni ugonjwa huo. Cha kufanya ni kuachana na mtu kama huyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…