Nahitaji forum kama hii ya JF (kwa muonekano na functionalities) Ukishatengeneza utanipatia ikiwa kwenye folder pamoja na sql file usiweke forum yoyote nitacreate na ku upload mwenyewe... by the way nafaham vizuri sana kutengeneza bt niko busy kwa muda huu. Kama kweli u r good fanya kaz niambie gharama. use vb.