yustad azizi
Member
- May 28, 2018
- 16
- 3
Natengeneza sofa za aina zote Kwa bei ya chini ni mwaminifu na mchapakaz na Kwa yeyote atakae hitaji kujifunza ufundi sofa Niko Tatar anitafute kwa maongez zaidi na Kwa yule atakae hitaji kutengenezewa popot pale nitakuja kwa uwezo wa mungu namba yangu 0655593652 na kuuliza sio ujinga nipigie mda wowote asante
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app